
Wagombea CCM waahidi kliniki za kibingwa
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Geita mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Chacha Wambura amesema akichaguliwa anatamani kuona kliniki za madaktari bingwa zinafika vituo vya afya. The post Wagombea CCM waahidi kliniki za kibingwa first appeared on HabariLeo .