
ACT Wazalendo yapinga kuondolewa kwa Mgombea wao wa Urais
Chama cha ACT Wazalendo kimepinga vikali hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia mgombea wao wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, kurejesha fomu za uteuzi, kikieleza kuwa maamuzi hayo kuwa si tu ya aibu, bali yanaibua maswali mengi juu ya Uadilifu, Umakini, weledi na uhuru wa Tume ambayo imepewa dhamana. Kwenye barua yao, […]