
Ndoinyo apitishwa, mwingine akiuka kanuni
ARUSHA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ngorongoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, Yannick Ndoinyo amepita bila kupingwa katika kinyang’anyiro cha kuwania kiti hicho baada ya mpinzani wake wa Chama Cha Umma (CHAUMMA) kukiuka kanuni kwa kuchelewa kurudisha fomu ya kuwania ubunge katika jimbo hilo. Akizungumza kwa njia ya simu, Msimamizi wa Tume Huru … The post Ndoinyo apitishwa, mwingine akiuka kanuni first appeared on HabariLeo .