
Zaidi ya nusu ya Watanzania wanapenda huduma za tiba asili
Asilimia 60 ya Watanzania wanatafuta tiba za asili, ingawa hakuna utafiti zaidi unaoeleza iwapo kundi hilo linatoka vijijini au ni wananchi waishio mijini, imeelezwa.
Asilimia 60 ya Watanzania wanatafuta tiba za asili, ingawa hakuna utafiti zaidi unaoeleza iwapo kundi hilo linatoka vijijini au ni wananchi waishio mijini, imeelezwa.
Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi ikishirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza kaulimbiu ya nishati safi na ubunifu katika usafirishaji kuelekea katika maadhimisho ya kwanza ya Wiki ya Usafirishaji Endelevu wa Ardhini nchini.
Watu wawili wakazi wa Mkoa wa Mbeya na Morogoro wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja akiwepo Mwanamke Tecla Lumala (24) baada ya kupatikana na makosa ya unyang'anyi wa kutumia silaha na kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dk James Mataragio amesema Serikali impenga kuwakutanisha wadau mbalimbali wa gesi asilia (CNG) na gesi ya mitungi (LPG) kujadili fursa na namna ya kutanzua changamoto zilizopo kwenye sekta hiyo.
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi Central Tanganyika (Dodoma), Dk Dickson Chilongani (59) ameieleza mahakama kuwa alijihisi furaha na huzuni, Askofu mkuu wa kwanza wa kanisa hilo, hayati John Sepeku alipozawadiwa shamba na nyumba.
Chama cha ACT Wazalendo kimemvua uanachama kada wake Monalisa Ndala ambaye hivi karibuni aliibuka kupinga uteuzi wa mgombea urais wa chama hicho Luhaga Mpina.
CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemvua uanachama Monalisa Ndallala, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa ya...
Jopo la madaktari bingwa wa upasuaji kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) limefanikiwa kuondoa uvimbe mkubwa wenye uzito wa kilo mbili kwenye pafu la kushoto la kijana mwenye umri wa miaka 30, ambaye alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya kupumua kwa muda mrefu.
Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla ameomba ushirikiano kutoka kwa viongozi na wananchi ili kuendeleza shughuli za kiuchumi zikiwemo sekta ya utalii na kilimo cha maua na mbogamboga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Abdulla, amekabidhi kompyuta mpakato (laptop) 30 kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Ally Possi ili ziwasaidie katika kukamilisha majukumu yao kwa wakati.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limethibitisha kuanza uchunguzi kuhusu video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikihusishwa na kupotea kwa mgombea udiwani wa CCM Kata ya Sirari, Sinda Samson Mseti. Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, video hiyo inaonyesha kundi la watu wakiingia katika nyumba moja usiku, ambapo inadaiwa kuwa Agosti 11, 2025 saa nane usiku, watu hao walimkamata ndugu wa mwenye nyumba hiyo, Sinda Mseti, ambaye alikuwa mgombea udiwani wa CCM. “Imeeleza kuwa watu hao ndio waliomteka Sinda Mseti, ambaye taarifa zake zilifikishwa Polisi na kudai kuwa Agosti 08, 2025 alikamatwa na kuchukuliwa na watu waliokuwa wanatumia gari […] The post Polisi: Tunafanya uchunguzi taarifa mpya kupotea kwa aliyekuwa mgombea udiwani CCM appeared first on SwahiliTimes .
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea na kampeni kikiahidi kuirejeshea Morogoro hadhi yake ya kuwa mkoa wa viwanda, huku ikieleza itakachowafanyia wananchi wa Mwanza.
Hekaheka za kusaka kura za nafasi ya urais katika wiki ya kwanza ya kampeni tayari zimeanza na kuvifanya vyama vya siasa kugawana maeneo ya nchi, kunadi sera zao kushawishi wananchi, ili wagombea wao wachaguliwe.
Mamlaka za kiusalama nchini Ukraine zimesema jumla ya watu 23 wamefariki dunia na 48 wamejeruhiwa kufuatia shambulio la Urusi lililofanywa katika mji wa Kyiv siku ya jana.
MOROGORO: Chama Cha Mapinduzi Presidency candidate Samia Suluhu Hassan, today addressed thousands of supporters at Tumbaku Grounds in Morogoro, where she outlined her government’s achievements in the region and unveiled further commitments aimed at improving livelihoods. Samia emphasized that her working visit to Morogoro had successfully delivered major development milestones. Among them were the launch of a new … The post Samia highlights development achievements and promises more projects in Morogoro Campaign Rally first appeared on Daily News .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaonya wazazi na walezi kuacha tabia ya kuwapeleka watoto kwenye vilabu vya usiku, likieleza kuwa maeneo hayo yanachochea mmomonyoko wa maadili na kuwaweka watoto katika hatari ya ukatili wa kijinsia na kiafya.