
Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini
Vodacom Tanzania PLC imesaini ushirikiano na Shirika la Salesian of Don Bosco Kanda ya Tanzania na kuzindua mfululizo wa mipango inayolenga kuwawezesha vijana na kuendeleza mchezo wa mpira wa kikapu jijini Dar es Salaam. Ushirikiano huu umehalalishwa kupitia kusainiwa kwa Makubaliano ya Ushirikiano (MoU), yakionyesha udhamini rasmi wa Vodacom kwa Don Bosco na Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Dar es Salaam (BDL). Tukio la uzinduzi limeangazia dhamira ya Vodacom katika kuwawezesha vijana, kujiendeleza kielimu na michezo, kwa lengo la kukuza vipaji vya ndani na kuimarisha maendeleo ya jamii. Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa […] The post Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini appeared first on SwahiliTimes .