
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 29, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wagombea wote wa nafasi za udiwani na ubunge kupitia chama hicho kuwafikia wananchi katika kipindi hiki cha kampeni na kuwaeleza kuhusu utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25, pamoja na mipango na sera za chama kuelekea mwaka 2030. Aidha, katika hotuba yake, […]
Kwa muda mrefu jina langu lilihusishwa na aibu na fedheha. Nilikuwa mtu ambaye kila simu aliyopokea aliogopa kujibu kwa sababu aliogopa kusikia sauti ya wadai. Nilikuwa nimezama kwenye madeni makubwa yaliyotokana na biashara yangu ndogo iliyoporomoka ghafla. Kila nilipoamka asubuhi nilihisi kama dunia imenigeuka, nikiona mashinikizo ya watu waliotaka kulipwa pesa zao bila huruma. Nilipoteza […]
Sumbawanga, Rukwa Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaelezwa kuimarisha huduma za usafiri na usafirishaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya ujenzi wa miundombinu ya barabara. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Sumbawanga, Nassir Kilusha ambapo amesema kuwa kiasi cha shilingi Bilioni 20.361 zimepokelewa kupitia mradi wa TACTIC …
It says the city is the last stronghold of the militant group, Hamas, and says it intends proceeding with the plan despite international calls for it to desist.
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo.
Pamoja na miaka 66 aliyo nayo, mstaafu wetu anamiliki anachoita kitambulisho kimoja tu kinachomtambulisha kuwa yeye ni mstaafu wa shirika lililokuwa kubwa enzi zake la 'nanihii', alichopata siku alipostaafu kwa hiari yake miaka 15 iliyopita!
Shauri la utata wa uteuzi wa mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 limetajwa mahakamani kwa mara ya kwanza, huku Mahakama ikisema haitasita kusimamia haki itakaporidhika kuhusu uwepo wa ukiukwaji wa taratibu.
Ni kicheko na maumivu kwa wagombea wa nafasi ya ubunge na udiwani baada ya baadhi kuteuliwa na wengine kukosa sifa ya kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuanza safari ya kusaka kura kuwaongoza wananchi ngazi ya kata na jimbo.
Wakati kampeni zikianza kote nchini katika nafasi za ubunge, udiwani na urais, Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kigoma wagombea udiwani katika kata 16 wanatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo au hapana baada ya vyama vya upinzani kutosimamisha wagombea katika kata hizo.
Wataalamu mbalimbali wa elimu nchini wametoa mapendekezo manne ya kuboresha Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania (TEWW).
Kwa mujibu wa madhehebu yetu ya Shafii ibada hii ni Sunna iliyosisitizwa na kutiliwa mkazo. Lakini hakuna dhambi kwa anayeiacha.
DAR ES SALAAM: MINING, infrastructure, energy, livestock, and health sectors have been noted as the top-performing areas in Tanzania under the presidency of Samia Suluhu Hassan, who, today, August 28, 2025, officially launched her party’s General Elections nationwide campaign. President Samia Suluhu Hassan launched the CCM nationwide campaign at Tanganyika Packers grounds in Kawe, Dar … The post Samia lifts the lid on why she deserves another 5-year term first appeared on Daily News .
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema wingi wa watu waliojitokeza katika uwanja huo unadhihirisha kuwa CCM ina uwezekano wa kuendelea kukamata dola.
Wakati matukio ya ajali za moto yanayohusisha watoto yakiendelea kuripotiwa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi limesema kuanzia Januari hadi Agosti 2025, kumeripotiwa matukio 10 tofauti.
Ufanisi mdogo wa vitendo katika utendaji kazi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini, umeelezwa kuwa moja ya kikwazo cha vijana kushindana katika soko la ajira, ndani na nje ya nchi.