
Shujaa wa Demokrasia Ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025
DUNIA imeelekeza macho yake Venezuela, ambako sauti ya mwanamke jasiri imekuwa alama ya matumaini mapya. María Corina Machado, kiongozi wa upinzani wa Venezuela, ametunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 kwa mchango wake wa kipekee katika kuhamasisha mabadiliko ya amani na demokrasia katika taifa lililokumbwa na utawala wa kimabavu. The post Shujaa wa Demokrasia Ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 first appeared on HabariLeo .