Beatrice Alex ang’ara Miss Grand International

Beatrice Alex ang’ara Miss Grand International

MWAKILISHI  wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International yanayoendelea kufanyika nchini Thailand, Miss Beatrice Alex, ameendelea kuipeperusha vyema bendera ya taifa baada ya kushika nafasi ya 3 katika kipengele cha Grand Talk na nafasi ya 15 katika kipengele cha Talent The post Beatrice Alex ang’ara Miss Grand International first appeared on HabariLeo .

Vodacom yazindua Duka Mbagala ili kusogeza huduma kwa wateja wao

Vodacom yazindua Duka Mbagala ili kusogeza huduma kwa wateja wao

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc imezindua duka jipya la kisasa katika eneo la Mbagala Zakhem ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani. Uzinduzi huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kampuni akiwemo Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara, Bi Brigita Shirima, ambaye aliongoza zoezi la uzinduzi kwa kukata utepe, pamoja na Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Bi Happiness Shuma, na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Bi Belinda Wera. Pia walikuwepo washirika wa Vodacom wakiwemo wawakilishi kutoka kampuni ya Mayzon Group Limited wakiongozwa na Mtendaji Mkuu wake, Vishar Matambo. […] The post Vodacom yazindua Duka Mbagala ili kusogeza huduma kwa wateja wao appeared first on SwahiliTimes .

Majaliwa: Serikali itaendelea kufanya mageuzi sekta ya kilimo

Majaliwa: Serikali itaendelea kufanya mageuzi sekta ya kilimo

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imedhamiria kuendelea kufanya mageuzi katika sekta ya kilimo ili kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa kitovu cha uzalishaji wa chakula katika ukanda wa Afrika Mashariki. Amesema lengo la Serikali ni kuendelea kuimarisha usalama wa chakula, kupunguza utapiamlo na kuijenga Tanzania yenye wananchi wenye afya bora, nguvu kazi imara na uchumi … The post Majaliwa: Serikali itaendelea kufanya mageuzi sekta ya kilimo first appeared on HabariLeo .

Simbu honoured to grace Arusha’s Dyslexia Awareness Run

Simbu honoured to grace Arusha’s Dyslexia Awareness Run

ARUSHA: TANZANIA’S Marathon legend, Alphonce Simbu, has been honoured to grace the Dyslexia Awareness Run in Arusha Simbu, who recently won a gold medal in the World Athletics Championship, will grace the forthcoming Dyslexia Awareness Run set for a flag off this Sunday, October 19th, 2025. Simbu became the first Tanzanian to win a gold … The post Simbu honoured to grace Arusha’s Dyslexia Awareness Run first appeared on Daily News .

Jeshi la Ulinzi la Wananchi latoa tamko kuhusu uchaguzi

Jeshi la Ulinzi la Wananchi latoa tamko kuhusu uchaguzi

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Katika taarifa […]

Tanzania sinks 96bn/- for combating epidemics

Tanzania sinks 96bn/- for combating epidemics

MWANZA: THE Deputy Prime Minister and Minister of Energy, Dr Doto Biteko, has launched a global project to combat epidemics in the country worth 38.7m US dollars (approximately 96bn/-), which aims to improve health services for Tanzanians and stimulate the country’s development. Speaking while launching the project in Mwanza, Dr Biteko has called on all … The post Tanzania sinks 96bn/- for combating epidemics first appeared on Daily News .

NLD promises impartial government

NLD promises impartial government

MOSHI: The National League for Democracy (NLD) presidential candidate, Doyo Hassan Doyo, has assured Tanzanians that the government he will lead will be one of equality, hope, and development for every Tanzanian without discrimination, with his main goal being to strengthen social and economic equality. Doyo has made it clear that the NLD government will … The post NLD promises impartial government first appeared on Daily News .

SUA awards best academicians, researchers, innovators

SUA awards best academicians, researchers, innovators

MOROGORO: THE government is set to strengthen agricultural education as a key pillar in addressing food security challenges, climate change, and youth employment. The Permanent Secretary in the Ministry of Agriculture, Gerald Mweli made the statement in Morogoro when presenting awards to students and staff of the Sokoine University of Agriculture (SUA) who excelled in … The post SUA awards best academicians, researchers, innovators first appeared on Daily News .

JWTZ lawaomba Watanzania kupuuza taarifa za uchochezi mitandaoni

JWTZ lawaomba Watanzania kupuuza taarifa za uchochezi mitandaoni

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewaomba Watanzania kupuuza machapisho/ taarifa kwenye mitandao ya kijamii yenye lengo la kuleta uchochezi kwa kulihusisha Jeshi na siasa. Wananchi wamekumbushwa kuwa taarifa zote zinazolihusu Jeshi zitatolewa na Makao Makuu ya Jeshi kwa utaratibu rasmi. Aidha, Jeshi hilo limesema kuwa  linaridhishwa na hali ya usalama iliyopo nchini katika kipindi hiki ambacho vyama vya siasa vinafanya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, “Jeshi linaviomba vyama vya siasa kuendeleza hali ya amani, usalama na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi,” imeeleza taarifa […] The post JWTZ lawaomba Watanzania kupuuza taarifa za uchochezi mitandaoni appeared first on SwahiliTimes .