
Viongozi wa dini watoa wito kudumisha amani
DAR ES SALAAM: VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali nchini wamekutana kujadili umuhimu wa kudumisha amani, haki na maridhiano hasa wakati huu ambapo Watanzania wanajiandaa kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,mwaka huu. Viongozi hao wamezungumza hayo Dar es salaam mapema wiki hii katika Kongamano la majadiliano ya kidini lililoandaliwa na kanisa la Evangelical … The post Viongozi wa dini watoa wito kudumisha amani first appeared on HabariLeo .