
Guterres: Sitisha mpango wa Gaza
NEW YORK : KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ametoa wito kwa Israel kuachana na mpango wake wa kuuteka na kuudhibiti Mji wa Gaza, huku kukiwa na hofu ya ukiukwaji wa haki za binadamu. The post Guterres: Sitisha mpango wa Gaza first appeared on HabariLeo .