
DC Acharuka wanafunzi 330 kutumia tundu moja la choo, Sinyanga
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Shingida Kata ya Usanda, Wilaya ya Shinyanga wanakabiliwa na upungufu wa matundu ya vyoo, ambapo yaliyopo hivi sasa ni matatu na yanatumiwa na wanafunzi zaidi ya 1000 (wastani wa wanafunzi 330 kwa tundu moja).