
Majaliwa Azindua Matumizi ya Nishati Safi Kwenye Magereza
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia katika Magereza 129 nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika gereza la Karanga lililopo Moshi Mkoani Kilimanjaro kwa niaba ya magereza yote nchini. Mpaka sasa vyanzo vya nishati mbadala vinayotumika katika magereza ni Gesi […]