Vodacom na Bolt kwa Pamoja Kutoa Punguzo kwa Kila Safari Kupitia Tuzo Points

Vodacom na Bolt kwa Pamoja Kutoa Punguzo kwa Kila Safari Kupitia Tuzo Points

Leo, Vodacom Tanzania PLC kwa ushirikiano na Bolt, Kampuni inayotoahuduma za usafiri kwa njia ya mtandao, wamezindua hudumampya inayowapa wateja thamani zaidi katika kila safari wanayofanya. Kupitia Tuzo Points, wateja wa Vodacom sasawanaweza kutumia pointi walizopata kupata punguzo la beikwenye safari za Bolt wakileta pamoja nguvu ya teknolojia, urahisi wa usafiri, na maisha ya kila …

Biteko azindua mfuko kukabili magonjwa ya mlipuko

Biteko azindua mfuko kukabili magonjwa ya mlipuko

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amezindua mradi wa Mfuko wa Kukabiliana na Magonjwa ya Mlipuko, utakaogharimu zaidi ya Sh billioni 90, huku akizitaka sekta zote zitakazoshiriki katika utekelezaji wake kuhakikisha fedha hizo zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa. Ni mradi wa miaka mitatu unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika … The post Biteko azindua mfuko kukabili magonjwa ya mlipuko first appeared on HabariLeo .

Upandaji miti ni uhai wa mazingira

Upandaji miti ni uhai wa mazingira

WASWAHILI husema, “Mchumia juani, hulia kivulini,” wakimaanisha kuwa mafanikio huletwa na juhudi. Methali hii inaakisi umuhimu wa upandaji miti katika jamii ili kujipatia manufaa ya kivuli, mvua, pamoja na mazingira salama. The post Upandaji miti ni uhai wa mazingira first appeared on HabariLeo .

WiLDAF trains Tanzanian media on how to combat online gender-based violence

WiLDAF trains Tanzanian media on how to combat online gender-based violence

DAR ES SALAAM: THE Women in Law and Development in Africa (WiLDAF Tanzania), in collaboration with GIZ, has organized a three-day special training camp for journalists as part of preparations for the 2025 16 Days of Activism against Gender-Based Violence campaign. The training aims to support national efforts through the upcoming National Dialogue on Digital … The post WiLDAF trains Tanzanian media on how to combat online gender-based violence first appeared on Daily News .

Wenje warns against inciting politics, calling them too dangerous

Wenje warns against inciting politics, calling them too dangerous

BUKOBA: EZEKIEL Wenje, who recently joined the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), has warned against inciting politics, saying it is dangerous for a nation and such a politician lacks the qualities to lead. Speaking at a CCM presidential candidate’s campaign rally held today, October 15, 2025, in the Kagera region, Wenje said statements like these … The post Wenje warns against inciting politics, calling them too dangerous first appeared on Daily News .

Watuhumiwa 76 wanaswa Mwanza

Watuhumiwa 76 wanaswa Mwanza

JESHI la Polisi mkoani wa Mwanza limewakamata watuhumiwa 76 kwa makosa mbalimbali. Akizungumza jana katika mahojiano malumu ofisini kwake, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa, Wilbroad Mutafungwa, amesema katika msako kudhibiti matukio ya kihalifu inayoendelea katika kipindi cha Oktoba 11 mwaka huu, mpaka sasa wamefanikiwa kukamata watuhumiwa hao. Ametaja baadhi ya makosa yakiwemo ni … The post Watuhumiwa 76 wanaswa Mwanza first appeared on HabariLeo .

Azeezah Anataka Kuolewa Bure, Mkubwa TZ Kupita Wasanii Kenya

Azeezah Anataka Kuolewa Bure, Mkubwa TZ Kupita Wasanii Kenya

Kupitia kwenye #HotontheFeed @el_mando_tz amejaribu kutufahamisha kuhusu Mtangazaji wa Kenya @azeezah_h aliyetangaza kuolewa hata Bure hata mke wa pili. Anasema @azeezah_h yupo Serious au ametafuta kitu cha kuongelewa tu Mitandaoni?? @el_mando_tz anasema Azeezah sio msanii lakini ana jina kubwa Tanzania kuliko hata wasanii wengi sana kutoka Kenya ambao wanafanya muziki. Amekuja kufanya matukio mengi Tanzania na watu wengi wanampenda na kumfahamu yeye kuliko …

Dr Mwinyi pledges to establish a Special Health Centre for people with disabilities

Dr Mwinyi pledges to establish a Special Health Centre for people with disabilities

ZANZIBAR: THE Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar presidential candidate, Dr. Hussein Mwinyi, has pledged to establish a specialized health center dedicated to serving people with disabilities. This initiative is part of his broader vision to ensure this group receives quality healthcare and equal rights within society. Speaking on Unguja Island during a meeting with people … The post Dr Mwinyi pledges to establish a Special Health Centre for people with disabilities first appeared on Daily News .