
Kikwete: Wanaojitia kimbelembele kukosoa uteuzi wa Samia CCM, wanajitoa ufahamu
Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameeleza kushangazwa na waliotaka Rais Samia Suluhu Hassan asigombee urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema mbona hawakufanya hivyo kwa wakuu wa nchi wa Serikali za awamu zilizopita.