
Waandishi wapewa nguvu kukemea ukatili mtandaoni
SHIRIKA la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF Tanzania) kwa kushirikiana na GIZ limeendesha kambi maalum ya mafunzo kwa waandishi wa habari kwa muda wa siku tatu, ikiwa ni maandalizi kuelekea Kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia mwaka 2025. The post Waandishi wapewa nguvu kukemea ukatili mtandaoni first appeared on HabariLeo .