
Kumekucha kampeni za Uchaguzi Mkuu
WAGOMBEA urais 17, ubunge na udiwani leo wanatarajiwa kuanza kampeni kuomba wananchi wawapigie kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilifanya uteuzi wa wagombea hao Agosti 27 wakiwemo 17 wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa ratiba iliyotangazwa na INEC kampeni … The post Kumekucha kampeni za Uchaguzi Mkuu first appeared on HabariLeo .