
Ratiba ya Mazishi ya Raila Odinga Yatolewa – Maziko Kufanyika Jumapili Bondo, Siaya
Ratiba ya Mazishi ya Raila Jumapili Yatolewa Kamati ya Kitaifa inayoandaa Mazishi ya Kitaifa ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga imetangaza kwamba mazishi yake yatafanyika Jumapili nyumbani kwake Bondo, Kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya. Naibu Rais Kithure Kindiki, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo pamoja na kaka yake mkubwa wa […]