
Aliyekua Mshauri wa Trump Ashtakiwa Kwa Kuvujisha Siri za Taifa
John Bolton, aliyekuwa mshauri wa usalama wa taifa wa Rais Donald Trump na kisha akawa mkosoaji wake makini, amefunguliwa mashtaka ya jinai ya shirikisho. Hii inatokea baada ya maafisa wa FBI kukagua makazi na ofisi za Bolton Agosti katika uchunguzi kuhusu namna alivyoshughulikia taarifa za siri za kitaifa. Kesi ya mashtaka yenye kurasa 26, iliyowasilishwa […]