
Kilombero Sugar Yazindua Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA Mashuleni
Kampuni ya Sukari Kilombero imezindua rasmi Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA Mashuleni, mradi unaoendeshwa na jamii unaoongozwa na dhamira yake ya thamani-shirikishi ya kujenga jamii inayostawi. Mpango huu unalenga kuzipatia shule za sekondari zinazozunguka Kampuni ya Sukari Kilombero vifaa na ujuzi wa kidijitali muhimu kwa mustakabali wa Ukuzaji ujuzi wa TEHAMA nchini. Kupitia mpango huu, …