Dk Samia aandika historia DUCE

Dk Samia aandika historia DUCE

Ni wazi sasa — historia ya elimu ya juu nchini Tanzania inaandikwa upya katika ardhi ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE). Wakati majengo makubwa yakipanda kama ishara ya matumaini mapya, hewa ya mageuzi inahisiwa kila kona ya chuo hicho, shukrani kwa jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk … The post Dk Samia aandika historia DUCE first appeared on HabariLeo .

Mishahara juu sekta binafsi

Mishahara juu sekta binafsi

SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeongeza kima cha chini cha mishahara kwa sekta binafsi kwa asilimia 33.4, itakayoanza kutolewa rasmi Januari Mosi, 2026. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema kima cha chini cha mshahara kimeongezeka kutoka Sh 275,060 … The post Mishahara juu sekta binafsi first appeared on HabariLeo .

Uongozi RT una mengi ya kufanya

Uongozi RT una mengi ya kufanya

MCHEZO wa riadha ni moja ya michezo inayofanya vizuri sana kuliko mchezo wowote katika nyanja ya kimataifa hapa nchini. Wengi hawajui na ukiwaambia hivyo, watakwambia ni mchezo wa soka. Ni kweli mchezo wa soka ni maarufu zaidi hapa nchini lakini haufanyi vizuri kama unavyofanya ule wa riadha. Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya vizuri zaidi katika … The post Uongozi RT una mengi ya kufanya first appeared on HabariLeo .

Jaji Mkuu Masaju amuapisha Hillary Massala kuwa Hakimu Mkazi

Jaji Mkuu Masaju amuapisha Hillary Massala kuwa Hakimu Mkazi

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju Oktoba 17, 2025 amemuapisha Hillary Massala Kuzenza kuwa Hakimu Mkazi kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma. Masaju amemtaka Hakimu huyo kurejea hotuba yake aliyoitoa tarehe 07 Oktoba, 2025 alipowaapisha Mahakimu wenzake wapya. Uapisho huo umehudhuriwa na Viongozi kadhaa wa Mahakama […]

Usikubali udhaifu wa umpendaye, hamuwezi kudumu!

Usikubali udhaifu wa umpendaye, hamuwezi kudumu!

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha kwa mara nyingine katika safu yetu hii ambapo tunajuzana mambo mbalimbali kuhusu mapenzi na uhusiano. Leo nataka tujadili kuhusu suala la kukubali udhaifu wa mwenza wako na umuhimu wake katika kujenga uhusiano au ndoa itakayodumu kwa kipindi kirefu. Watu wengi ambao wana matatizo katika ndoa au […]