Maisha wenye ulemavu kuboreshwa Z’bar

Maisha wenye ulemavu kuboreshwa Z’bar

RAIS wa Zanzibar na Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaomba watu wenye ulemavu nchini kumpa kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, huku akiwaahidi kuboresha zaidi maisha yao katika awamu yake ya pili ya uongozi. The post Maisha wenye ulemavu kuboreshwa Z’bar first appeared on HabariLeo .

Mavunde pledges to build a talent, sports centre in Dodoma

Mavunde pledges to build a talent, sports centre in Dodoma

DODOMA: THE Chama Cha Mapinduzi(CCM) parliamentary candidate for Mtumba Constituency, Anthony Mavunde, has pledged to build a talent and sports development center in the Sokoine area, Ipala, as part of his efforts to promote youth empowerment and encourage investment in Ipala Ward. Speaking during his ongoing campaign in the ward, Mr Mavunde noted that he … The post Mavunde pledges to build a talent, sports centre in Dodoma first appeared on Daily News .

Dr Samia sends condolences to the Odinga family, Ruto, following the demise of former PM

Dr Samia sends condolences to the Odinga family, Ruto, following the demise of former PM

MULEBA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has extended her heartfelt condolences to the family of  Odinga and Kenyans in general following the death of the country’s Former Prime Minister Raila Odinga. The Kenyan Opposition figure passed away on Wednesday in India, where he was undergoing treatment. Extending her condolences on her social media platforms, President Samia … The post Dr Samia sends condolences to the Odinga family, Ruto, following the demise of former PM first appeared on Daily News .

Dignity reborn in the soil: The story of MTU KAZI

Dignity reborn in the soil: The story of MTU KAZI

MBEYA: When you walk into the village of Uhambule, Mbarali in Tanzania’s Mbeya region, the air carries the scent of soil, sweat, and quiet determination. The young men and women of “Mtu Kazi” Group rise with the sun not to chase jobs, but to create them. I first heard about Mtu Kazi during the Nane … The post Dignity reborn in the soil: The story of MTU KAZI first appeared on Daily News .

Mahakama yatupilia mbali kesi ya Luhaga Mpina

Mahakama yatupilia mbali kesi ya Luhaga Mpina

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina pamoja na ACT- Wazalendo kupinga kuondolewa kwenye orodha ya wagombea Urais wa Tanzania. Mahakama imeeleza kuwa haina mamlaka ya kuingilia uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) unaotekelezwa kwa mujibu wa Katiba na sheria. Shauri hilo limesikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Frederick Mayanda, huku upande wa waleta maombi ukiongozwa na Wakili John Seka na timu yake ya mawakili. Wadaiwa katika shauri hilo walikuwa ni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Mwanasheria […] The post Mahakama yatupilia mbali kesi ya Luhaga Mpina appeared first on SwahiliTimes .

Samia atuma salamu za pole kifo cha Odinga

Samia atuma salamu za pole kifo cha Odinga

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu pole kwa watu wa Kenya kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Raila Odinga kilichotokea India akiwa na umri wa miaka 80. Familia yake imesema amefariki dunia leo asubuhi kwa mshituko wa moyo wakati wa mazoezi ya kutembea katika hospitali ya Ayurvedic iliyopo Manispaa ya Koothattukulam … The post Samia atuma salamu za pole kifo cha Odinga first appeared on HabariLeo .

CCM kuimarisha sekta ya madini Singida

CCM kuimarisha sekta ya madini Singida

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kwamba katika kipindi cha miaka mitano ijayo, endapo kitapewa ridhaa ya kuendelea kuongoza nchi, kitaimarisha zaidi sekta ya madini mkoani Singida kwa kuanzisha masoko mapya ya madini katika maeneo ya Sekenke na Puma na kuendeleza soko la Shelui. Ahadi hiyo imetolewa na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Balozi Dk … The post CCM kuimarisha sekta ya madini Singida first appeared on HabariLeo .

Ruto aitisha kikao kufuatia msiba wa kitaifa

Ruto aitisha kikao kufuatia msiba wa kitaifa

RAIS wa Kenya, William Ruto, leo ameingia katika kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Kitaifa, huku akitarajiwa kuongoza pia kikao maalum cha Baraza la Mawaziri kufuatia msiba wa kitaifa wa kiongozi wa kisiasa na Waziri Mkuu Mstafu, Raila Odinga. The post Ruto aitisha kikao kufuatia msiba wa kitaifa first appeared on HabariLeo .