10 heartwarming photos of Raila Odinga, Winnie showing their special dad-daughter bond
At times, it seemed like Winnie Odinga and her father, Raila, were inseparable. The two had an ideal father-daughter relationship that most people admired.

Record Kenya Premier League champions, Gor Mahia Football Club, have bid farewell to club patron, former Prime Minister Raila Odinga. Shortly after attending the late ODM leader’s state funeral at the Nyayo National Stadium on Friday, October 17, 2025, the club mourned Raila Odinga in a moving tribute ahead of his burial ceremony scheduled for […]
NCHI ikiendelea kumwomboleza aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, mwanahabari tajika Fred Machoka amempa mmoja wa ng’ombe wake jina la lakabu la kiongozi huyo. Ndama aliyezaliwa jana, Alhamisi, Oktoba 16, 2025, Bw Machoka amempa jina Rao kama ishara ya heshima kwa mwanasiasa huyo mashuhuri. [caption id="attachment_179333" align="alignnone" width="300"] Ndama wa Fred Machoka aliyepewa jina RA001. PICHA| SAMMY WAWERU.[/caption] Bw Odinga aliaga dunia mnamo Jumatano, Oktoba 15, siku moja kabla ya ndama wa Machoka kuzaliwa. Alifariki India ambako alikuwa akipokea matibabu. “Sidhani kunaye asiyejua Bw Raila Odinga ndani na nje ya Kenya. Ni shujaa wa nchi yetu, na ni huzuni kumpoteza. Kwa heshima zake kupigania uhuru wa demokrasia, ndama wa ng’ombe wangu aliyezaliwa jana (Jumatano) nimempa jina la Rao,” mwanahabari huyo wa Shirika la Royal Media akaambia Taifa Dijitali kwenye mahojiano ya kipekee nyumbani kwake Isinya, Kaunti ya Kajiado. Bw Machoka, ana mradi wa kilimo na ufugaji unaofahamika kama Fred Ranch eneo la Isinya. [caption id="attachment_179333" align="alignnone" width="300"] Ndama wa Fred Machoka aliyepewa jina RA001. PICHA| SAMMY WAWERU.[/caption] Akimwomboleza Bw Odinga, Bw Machoka, alimtaja Waziri Mkuu huyo wa zamani kama Baba wa Demokrasia Kenya kufuatia mchango wake mkuu. Bw Odinga amemiminiwa sifa na viongozi wakuu nchini, akiwemo Rais William Ruto, Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, viongozi nje ya nchi na Wakenya kwa jumla, wakisema utendakazi wake utasalia kwenye nyoyo za wengi. Mwaka 1992, chini ya utawala wa Rais wa wakati huo, Daniel Arap Moi (marehemu kwa sasa), Raila Odinga pamoja na wanasiasa wengine kupitia vuguvugu walitetea kuzinduliwa kwa mfumo wa vyama vingi Kenya - hatua iliyochangia kukua kwa demokrasia Kenya. Ng’ombe wa Fred Machoka aliyezaa ndama aliyepewa jina la Odinga, mwanahabari huyo alisema ilikuwa mara yake ya kwanza kujifungua. Ni ndama maridadi wa kiume, wa mchanganyiko wa rangi ya kahawia na nyeupe. [caption id="attachment_179334" align="alignnone" width="300"] Ndama RA0 001. PICHA| SAMMY WAWERU.[/caption] Kwenye sikio, ana nembo iliyoandikwa Rao 001 na tarehe aliyozaliwa - 16/10/2025.

Raila farewell: Wiper leader Kalonzo Musyoka faults funeral committee for sidelining opposition during the State Funeral at Nyayo Stadium, claims move disrespects Odingas legacy.

A Russian military court convicted 15 captured Ukrainian soldiers on terrorism charges Friday, sentencing them to prison terms of up to 21 years in a proceeding widely condemned by Kyiv and human rights groups as a sham violation of international law.

Simone Gbagbo is one of two female candidates contesting the 25 October vote which incumbent President Alassane Ouattara is widely expected to win.
An international vote to formally approve cutting maritime emissions was delayed by a year Friday, in a victory for the United States which opposes the carbon-cutting plan. But a vote due Friday on whether to formally approve the deal was delayed until next year after US President Donald Trump threatened sanctions against countries backing the plan.