Tanzia: Maombolezo ya Baba Raila Odinga

Tanzia: Maombolezo ya Baba Raila Odinga

HUKU viongozi ndani na nje ya nchi wakiendelea kutuma risala za pole kwa familia, jamaa, marafiki na jamii ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, maeneo tofauti ya taifa Wakenya wameelekea barabarani kuomboleza mwanasiasa huyo shupavu. Bw Odinga, duru zinaarifu alifariki mapema ya kuamkia Jumatano, Oktoba 15, 2025 akiwa nchini India, ambako alikuwa anapokea matibabu. Familia ya Waziri Mkuu huyo wa zamani, pamoja na Rais William Ruto ambaye amekuwa akihudumu naye sako kwa bako tangu mwaka uliopita, hata hivyo, hadi wakati wa kuchapisha taarifa hii haikuwa imetoa taarifa rasmi. Baadhi ya wananchi wamemuomboleza Bw Odinga kwa njia ya kipekee, Homa Bay, kwa mfano wafuasi wake wakitumia ng’ombe kama nembo ya maombolezo. [caption id="attachment_179192" align="aligncenter" width="300"] Baadhi ya Wakenya wakimuomboleza Raila Odinga kaunti ya Homa Bay. Picha|George Odiwuor[/caption] Kisumu, baadhi ya maduka yamefungwa – kama ishara ya heshima kwa Bw Odinga, ambaye alitambulika kwa jina la utani kama Baba. Bw Odinga alihudumu kama Waziri Mkuu katika serikali ya mseto 2007 hadi 2012, iliyoongozwa na Rais Mwai Kibaki – ambaye kwa sasa ni marehemu. Waziri Odinga, anakumbukwa kwa kupigania demokrasia ya Kenya haswa chini ya utawala wa Rais Daniel Arap Moi – ambaye pia ni marehemu. Taifa Dijitali , imeandaa picha za kipekee zilizonaswa na kukusanywa na waandishi wetu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, hasa ngome ya ODM, chama alichoongoza Waziri Odinga. [caption id="attachment_179194" align="aligncenter" width="300"] Wakenya kutoka Siaya wakiwa nyumbani kwa Raila Odinga. Picha|Rushdie Ouda[/caption] [caption id="attachment_179195" align="aligncenter" width="300"] Wafuasi wa Raila Odinga wakitumia ng'ombe kama nembo kumuomboleza Homa Bay. Picha|George Odiwuor[/caption] [caption id="attachment_179196" align="aligncenter" width="300"] Barabara ya Jamogi Oginga Siaya, waombolezaji wakiwa wameifurika. Picha|Rushdie Ouda[/caption] [caption id="attachment_179197" align="aligncenter" width="300"] Wananchi Kisii wakimuomboleza Raila Odinga. Picha|Wycliffe Nyaberi[/caption] [caption id="attachment_179198" align="aligncenter" width="300"] Waombolezaji Homa Bay. Picha|George Odiwuor[/caption] [caption id="attachment_179199" align="aligncenter" width="300"] Raila Odinga Stadium, Wakenya wakimuomboleza Raila Odinga. Picha|Rushdie Ouda[/caption] [caption id="attachment_179200" align="aligncenter" width="300"] Maombolezo ya Raila Odinga Kaunti ya Kisumu. Picha|Rushdie Ouda[/caption]

MWOMBOLEZAJI: Heri ningekufa mimi kuliko Baba Raila Odinga

MWOMBOLEZAJI: Heri ningekufa mimi kuliko Baba Raila Odinga

HUKU viongozi ndani na nje ya nchi wakiendelea kutuma risala za pole kwa familia, jamaa, marafiki na jamii ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, maeneo tofauti ya taifa Wakenya wameelekea barabarani kuomboleza mwanasiasa huyo shupavu. Bw Odinga, duru zinaarifu alifariki mapema ya kuamkia Jumatano, Oktoba 15, 2025 akiwa nchini India, ambako alikuwa anapokea matibabu. Familia ya Waziri Mkuu huyo wa zamani, pamoja na Rais William Ruto ambaye amekuwa akihudumu naye sako kwa bako tangu mwaka uliopita, hata hivyo, hadi wakati wa kuchapisha taarifa hii haikuwa imetoa taarifa rasmi. Baadhi ya wananchi wamemuomboleza Bw Odinga kwa njia ya kipekee, Homa Bay, kwa mfano wafuasi wake wakitumia ng’ombe kama nembo ya maombolezo. [caption id="attachment_179192" align="aligncenter" width="1280"] Baadhi ya Wakenya wakimuomboleza Raila Odinga kaunti ya Homa Bay. Picha|George Odiwuor[/caption] Kisumu, baadhi ya maduka yamefungwa – kama ishara ya heshima kwa Bw Odinga, ambaye alitambulika kwa jina la utani kama Baba. Bw Odinga alihudumu kama Waziri Mkuu katika serikali ya mseto 2007 hadi 2012, iliyoongozwa na Rais Mwai Kibaki – ambaye kwa sasa ni marehemu. Waziri Odinga, anakumbukwa kwa kupigania demokrasia ya Kenya haswa chini ya utawala wa Rais Daniel Arap Moi – ambaye pia ni marehemu. Taifa Dijitali , imeandaa picha za kipekee zilizonaswa na kukusanywa na waandishi wetu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, hasa ngome ya ODM, chama alichoongoza Waziri Odinga. [caption id="attachment_179194" align="alignright" width="1040"] Wakenya kutoka Siaya wakiwa nyumbani kwa Raila Odinga. Picha|Rushdie Ouda[/caption] [caption id="attachment_179195" align="aligncenter" width="1280"] Wafuasi wa Raila Odinga wakitumia ng'ombe kama nembo kumuomboleza Homa Bay. Picha|George Odiwuor[/caption] [caption id="attachment_179196" align="aligncenter" width="1280"] Barabara ya Jamogi Oginga Siaya, waombolezaji wakiwa wameifurika. Picha|Rushdie Ouda[/caption] [caption id="attachment_179197" align="aligncenter" width="1280"] Wananchi Kisii wakimuomboleza Raila Odinga. Picha|Wycliffe Nyaberi[/caption] [caption id="attachment_179198" align="aligncenter" width="1280"] Waombolezaji Homa Bay. Picha|George Odiwuor[/caption] [caption id="attachment_179199" align="aligncenter" width="1280"] Raila Odinga Stadium, Wakenya wakimuomboleza Raila Odinga. Picha|Rushdie Ouda[/caption] [caption id="attachment_179200" align="aligncenter" width="1280"] Maombolezo ya Raila Odinga Kaunti ya Kisumu. Picha|Rushdie Ouda[/caption]

Gachagua Mourns Raila as Father of Democracy and Hero of Kenya’s Second Liberation

Gachagua Mourns Raila as Father of Democracy and Hero of Kenya’s Second Liberation

Former Deputy President Rigathi Gachagua has mourned former Prime Minister Raila Odinga as the “father of Kenya’s democracy” and a “formidable hero of the country’s second liberation.” Odinga, 80, died in India after suffering a heart attack while receiving treatment at the Koothattukulam Sreedhareeyam Ayurveda Hospital in Ernakulam. According to medical officials, he collapsed during [...] The post Gachagua Mourns Raila as Father of Democracy and Hero of Kenya’s Second Liberation appeared first on Kahawatungu .

World Leaders Mourn Raila Odinga as a Towering Statesman and Champion of Democracy

World Leaders Mourn Raila Odinga as a Towering Statesman and Champion of Democracy

Global leaders, including India’s Prime Minister Narendra Modi, Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan, and Zambia’s President Hakainde Hichilema, have sent heartfelt condolences following the death of Kenya’s former Prime Minister Raila Odinga. Odinga, 80, died in India after suffering a heart attack while receiving treatment at the Koothattukulam Sreedhareeyam Ayurveda Hospital in Ernakulam. According to [...] The post World Leaders Mourn Raila Odinga as a Towering Statesman and Champion of Democracy appeared first on Kahawatungu .

President Ruto in Karen to mourn Raila Odinga

President Ruto in Karen to mourn Raila Odinga

In a poignant display of national unity amid profound grief, President William Ruto arrived at the upscale Karen residence of Kenya’s veteran opposition leader Raila Odinga, on Wednesday, October 15, 2025, joining mourners flocking to the site since news of Odinga’s passing broke earlier today. President Ruto was accompanied to Raila’s Karen residence by a […]

Uhuru Kenyatta Mourns Raila Odinga as a ‘Defining Part’ of His Political Journey

Uhuru Kenyatta Mourns Raila Odinga as a ‘Defining Part’ of His Political Journey

Former President Uhuru Kenyatta has paid a heartfelt tribute to former Prime Minister Raila Odinga, describing him as a defining figure in his political journey and a true patriot who dedicated his life to Kenya’s unity and progress. Odinga, 80, died in India following a heart attack while receiving treatment at the Koothattukulam Sreedhareeyam Ayurveda [...] The post Uhuru Kenyatta Mourns Raila Odinga as a ‘Defining Part’ of His Political Journey appeared first on Kahawatungu .