Raila’s Death: Mourners Flock to His Karen and Bondo Homes as IG Kanja Tightens Security

Raila’s Death: Mourners Flock to His Karen and Bondo Homes as IG Kanja Tightens Security

Former Prime Minister Raila Odinga has died in India following a heart attack, officials confirmed on Wednesday. Odinga, 80, passed away while receiving treatment at the Koothattukulam Sreedhareeyam Ayurveda Hospital in Ernakulam, India. According to medical reports, the veteran opposition leader suffered a cardiac arrest during his morning walk and was rushed to the nearby [...] The post Raila’s Death: Mourners Flock to His Karen and Bondo Homes as IG Kanja Tightens Security appeared first on Kahawatungu .

How To Check If My Phone Is Cloned

How To Check If My Phone Is Cloned

Phone cloning happens when someone copies your phone’s unique identity — such as its IMEI number or SIM card data — and uses it to make calls, send messages, or access your personal information. A cloned phone can lead to unauthorized charges, data theft, and even identity fraud. Many people don’t realize their phones are [...] The post How To Check If My Phone Is Cloned appeared first on Kahawatungu .

How To Check If You Are Blacklisted In South Africa

How To Check If You Are Blacklisted In South Africa

Being blacklisted in South Africa can affect your ability to get credit, buy a car, rent a house, or even apply for certain jobs. Blacklisting happens when you have unpaid debts, missed payments, or legal judgments against you that are recorded with credit bureaus. Knowing your credit status helps you manage your finances responsibly and [...] The post How To Check If You Are Blacklisted In South Africa appeared first on Kahawatungu .

HABARI ZA HIVI PUNDE: Raila Odinga amefariki dunia akiwa India

HABARI ZA HIVI PUNDE: Raila Odinga amefariki dunia akiwa India

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga alifariki dunia Jumatano asubuhi huko Koothattukulam, wilayani Ernakulam nchini India, baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati anafanya matembezi yake ya kila asubuhi, kulingana na polisi na viongozi wa hospitali. Odinga, mwenye umri wa miaka 80, aliangua wakati wa matembezi ya asubuhi ndani ya uwanja wa kituo cha tiba ya Ayurveda, na alikimbizwa Hospitali ya Macho ya Sreedhareeyam Ayurvedic na Kituo cha Utafiti huko Koothattukulam, ambapo alitangazwa kuwa amefariki dunia, msemaji wa hospitali hiyo alisema. Odinga alikuwa amewasili Koothattukulam siku sita zilizopita, akiambatana na binti yake na wanafamilia wa karibu. Alikuwa akifuata mpangilio wa matembezi ya asubuhi na vikao vya matibabu hospitalini. Mwili wake umehifadhiwa kwa sasa katika Hospitali ya Deva Matha hapa, polisi walisema. Msemaji huyo alisema kuwa Odinga na familia yake walikuwa wakitembelea hospitali hiyo, ambayo awali ilikuwa imemsaidia binti yake kupata tena uwezo wa kuona. Afisa wa polisi alisema kuwa taarifa kuhusu kifo cha Odinga ziliwasilishwa kwa Ofisi ya Kanda ya Usajili wa Wageni (FRRO) kwa taratibu mwafaka za sheria. Kifo chake kimejiri siku chache baada ya kaka yake, Dkt Oburu Oginga, kuthibitisha kuwa ndugu yake mdogo, Odinga, alikuwa mgonjwa kwa muda, lakini alikuwa akindelea kupata nafuu nchini India. Kauli yake  ilijiri siku chache baada ya uvumi na taarifa zinazokinzana kusambaa kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi wa chama cha ODM. Akizungumza na wanahabari wiki jana akiwa Ugunja na pia kwenye kipindi cha asubuhi katika redio ya lugha ya mama, Radio Nam Lolwe, Dkt Oginga alieleza kuwa ugonjwa huo haukuwa wa kutishia maisha. “Raila, kama binadamu yeyote, alipata matatizo madogo ya kiafya siku chache zilizopita, lakini kwa sasa anaendelea vizuri. Alisafiri kwenda India kwa uchunguzi wa kiafya na sasa anapumzika,” alisema Dkt Oginga, ambaye pia ni msemaji wa familia ya Odinga. Hata hivyo, kauli yake inakinzana na ile ya mke wa Raila, Mama Ida Odinga, ambaye hivi majuzi alikanusha madai kuwa mumewe ni mgonjwa, akieleza kuwa alichukua likizo fupi kutoka siasa. “Kama mtu ninayeishi naye kila siku, naifahamu afya yake vyema kuliko mtu mwingine yeyote. Haieleweki ni vipi mtu asiyeishi naye anaweza kudai anajua hali yake ya afya kuliko mimi. Ninachowaambia ndicho ukweli,” alisema Mama Ida. Aidha, msemaji wa Raila, Dennis Onyango, na timu yake walikuwa tayari wamekanusha madai hayo, wakisema ni propaganda za kisiasa zilizoenezwa na wapinzani. Ingawa Bw Odinga kwa kawaida huwa wazi kuhusu hali yake ya afya, Dkt Oginga alisema kuwa lazima Raila aarifu  umma kila mara kuhusu hali yake kwa kuwa yeye si rais. “Raila si rais ambaye afya yake lazima ijulikane hadharani kila mara, hata kwa matatizo madogo kama haya. Hatukukusudia kuzungumzia suala hili hadharani, lakini kutokana na uvumi uliokuwa umeenea, tuliamua kutoa ufafanuzi,” alisema Dkt Oginga.

How To Check If A Camshaft Position Sensor Is Bad

How To Check If A Camshaft Position Sensor Is Bad

The camshaft position sensor is an essential component of your car’s engine management system. It monitors the position and speed of the camshaft and sends this data to the engine control unit (ECU), which uses it to regulate fuel injection and ignition timing. When the camshaft position sensor starts failing, your car may run poorly, [...] The post How To Check If A Camshaft Position Sensor Is Bad appeared first on Kahawatungu .