How To Check Balance On Standard Bank SIM Card

How To Check Balance On Standard Bank SIM Card

The Standard Bank SIM card is designed to make banking and communication more convenient for customers. It allows users to access mobile banking services, make calls, send messages, and stay connected while managing their finances. One of the most common tasks users need to do is checking their airtime or data balance. Whether you’re using [...] The post How To Check Balance On Standard Bank SIM Card appeared first on Kahawatungu .

How To Check Balance On SARS

How To Check Balance On SARS

If you pay taxes in South Africa, keeping track of your balance with the South African Revenue Service (SARS) is very important. It helps you know whether you owe money, have refunds pending, or are fully up to date with your tax obligations. SARS provides several convenient ways to check your balance, both online and [...] The post How To Check Balance On SARS appeared first on Kahawatungu .

Kindiki: Hakuna jinsi Upinzani unaweza kumshinda Ruto akiwa pande moja na Raila

Kindiki: Hakuna jinsi Upinzani unaweza kumshinda Ruto akiwa pande moja na Raila

NAIBU RAIS Profesa Kithure Kindiki amekariri kuwa upinzani hauna nafasi yoyote ya kushinda muungano wa Rais William Ruto na Kinara wa ODM Raila Odinga kwenye uchaguzi wa 2027. Profesa Kindiki alisema upinzani kwa sasa umetambua hilo ndiposa viongozi wake sasa wamegeukia siasa za kikabila ili kukabili serikali. Aliwarejelea viongozi wa upinzani kama waliojaa sarakasi na wale ambao wanabahatisha tu nafasi yao katika uchaguzi mkuu wa 2027. “Viongozi wetu wawili wapo mbele na tunawafuata tukitambua kuwa hali ya baadaye ya nchi ni Serikali Jumuishi,” akasema Profesa Kindiki. Alikuwa akiongea mjini Siaya wakati wa mchango wa kuyainua makundi ya wahudumu wa boda boda eneo katika hilo. “Nawaona viongozi wa upinzani wakishiriki drama ya kujaribu kupimana na muungano wa Raila na Ruto. Wanaweza kutushinda kweli?” akauliza Profesa Kindiki. Kauli yake inakuja baada ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kusema kuwa upinzani utaungana na kuwashinda Raila na Rais Ruto. Profesa Kindiki pia aliwashutumu viongozi wa upinzani kwa kutumia afya ya Bw Odinga kujipigia debe kisiasa. Alisema kuwa ni aibu na ukosefu wa maadili kwa viongozi wa Afrika kuzungumzia afya ya kiongozi wa hadhi ambaye anaheshimika ndani na nje ya nchi kama Raila. “Mzee Raila yuko salama na wale ambao wanamtakia maradhi na mauti si watu wazuri. Ni kinyume na tamaduni za Kiafrika kumtaka hata adui wako augue,” akasema Profesa Kindiki. Alisema kuwa alikuwa amezungumza na Bw Odinga na waziri huyo mkuu wa zamani akamweleza kuwa yu salama kiafya. “Nimeongea naye, hana neno, yu imara kiafya na anaendelea kupumzika,” akasema Prof Kindiki. Chini ya Serikali Jumuishi, Naibu Rais alisema kuwa kila sehemu ya nchi itaendelezwa licha ya miegemeo yao ya kisiasa. Alisema kuwa kama viongozi, wanaunga mkono kwa dhati ushirikiano kati ya Rais na na Bw Odinga. Profesa Kindiki alimsifu Gavana wa Siaya James Orengo kwa kukubali kuunga mkono Serikali Jumuishi na akaamua kuwa atahakikisha mwenyewe miradi ya kitaifa inakamilishwa katika kaunti hiyo. “Orengo ni mwanasiasa, wakili mashuhuri na kiongozi ambaye alipigania ukombozi wa taifa hili. Tutashirikiana naye kuhakikisha kwamba Siaya inaendelea,” akasema naibu rais. Kiongozi wa Wengi katika Seneti, Aaron Cheruiyot, naye alivamia upinzani akisema umemkosea heshima Raila. “Kile ambacho aliyekuwa waziri mkuu amefanyia nchi, Gachagua hawezi kutimiza hata akiishi zaidi ya miaka 200,” akasema. Kaunti ya Siaya ni kati ya zile ambazo zimenufaika na miradi mingi ya serikali ambayo ni ya thamani ya mabilioni ya hela. Uga wa Siaya ni kati ya miradi ambayo imejengwa na serikali kwa kima cha Sh550 milioni.

Suspect shot two arrows at slain State House GSU officer, officials say

Suspect shot two arrows at slain State House GSU officer, officials say

The suspect who attacked and killed a General Service Unit officer stationed at State House in Nairobi had shot two arrows targeting the victim, officials have revealed. One of the arrows missed the target, who was Ramadhan Khamis Matanka before the second one hit him in the chest, police said. It also emerged that the [...] The post Suspect shot two arrows at slain State House GSU officer, officials say appeared first on Kahawatungu .

Passenger killed, 21 injured after speeding bus overturns on State House Road/Kenyatta Avenue junction

Passenger killed, 21 injured after speeding bus overturns on State House Road/Kenyatta Avenue junction

At least one passenger was killed while 21 were left with serious injuries after a bus overturned at the State House Road/Kenyatta Avenue junction in Nairobi. Police said the accident happened on Monday October 13, 2025 night as the bus raced from Valley Road down to the city centre. Survivors said the driver lost control [...] The post Passenger killed, 21 injured after speeding bus overturns on State House Road/Kenyatta Avenue junction appeared first on Kahawatungu .

Senior police officer surrenders after shooting wife in Uasin Gishu

Senior police officer surrenders after shooting wife in Uasin Gishu

There was panic and drama at the Eldoret police station when a senior police officer surrendered to authorities after he had shot and wounded his wife at their home in Ainabkoi, Uasin Gishu County. The officer of the rank of inspector is said to have shot and wounded the wife in the early hours of [...] The post Senior police officer surrenders after shooting wife in Uasin Gishu appeared first on Kahawatungu .