Oburu atangaza mabadiliko hafla za kuaga Raila

Oburu atangaza mabadiliko hafla za kuaga Raila

KAKAKE Hayati Raila Odinga, Oburu Oginga, ametangaza mabadiliko machache kuhusu ratiba ya umma kuutazama mwili wake na ibada ya wafu kwa heshima zake. Akiongea na wanahabari nyumba kwa Raila, Opoda Farm, Bondo, Siaya, Dkt Oginga alisema kuwa ibada ya wafu itafanyika katika uwanja wa michezo wa Moi Sports Centre Kasarani badala ya uwanja wa Nyayo ilivyotangazwa Jumatano. Aliongeza kuwa shughuli ya kutazama mjini Kisumu itafanyika katika Uwanja wa Michezo wa Jomo Kenyatta ulioko mtaani Mamboleo badala ya Uwanja wa Michezo wa Moi. “Kulingana na msongamano wa waombolezaji ulioshuhudiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), tumeamua kuhamisha ibada yake ya wafu kutoka uwanja wa Nyayo hadi Kasarani, siku ya Ijumaa. Na mjini Kisumu siku ya Jumamosi, tumekubaliana kwamba mwili wake utatazwa katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Mamboleo badala ya uwanja wa Moi ambao ni mdogo,”  Dkt Oginga akaeleza, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa Kamati ya Kitaifa ya Kuandaa Mazishi ya Kitaifa ya mwendazake. Seneta huyo wa Siaya alisema hayo Alhamisi alipofika Bondo kutoa habari rasmi kuhusu kifo cha Raila, kitendo kinachojulikana kwa dholuo kama “tero ywak pacho”. Dkt Oginga pia alijumuisha na viongozi wa kidini kutambua sehemu ambako palichimbwa kaburi la Raila. Seneta huyo wa Siaya aliandamana na viongozi wa Kanisa la Kianglikana (ACK) Dayosisi ya Bondo. Raila atazimwa mita chache kando la kaburi la babake, Jaramogi Oginga Odinga, nyumbani kwao, Kango Kajaramogi, kijiji cha Nyamira. Mnamo Alhamisi, mwili wa Raila ulitazamwa  na umma katika uwanja wa Kasarani; shughuli ambayo pia ilihamishwa kutoka majengo ya bunge kutokana na idadi kubwa ya waombolezaji.

5 ways in which Kenyans honoured Raila Odinga

5 ways in which Kenyans honoured Raila Odinga

The death of former Prime Minister Raila Odinga on Wednesday, October 15, 2025, prompted an immediate public outpouring across Kenya and beyond. In the 24-hour period that saw his body repatriated from India, Kenyans have honoured the opposition leader in different ways, such as through state protocols, mass popular turnout, religious and cultural rituals, social […]

Spain's BBVA fails in Sabadell takeover bid

Spain's BBVA fails in Sabadell takeover bid

Spanish banking giant BBVA's hostile takeover bid for smaller rival Sabadell has failed, dashing its hopes of creating a new European sector colossus, the stock market regulator announced on Thursday. The leadership of Sabadell, Spain's fourth-largest bank, had persistently rejected BBVA's advances and recommended its plethora of small shareholders reject the bid.

BBVA's Sabadell takeover bid fails: Spanish regulator

BBVA's Sabadell takeover bid fails: Spanish regulator

Spanish banking giant BBVA's hostile takeover bid for smaller rival Sabadell has failed, the stock market regulator announced on Thursday, dashing BBVA's hopes of creating a new European sector colossus. The leadership of Sabadell, Spain's fourth-largest bank, had persistently rejected BBVA's advances and recommended its plethora of small shareholders reject the bid.

'Battlefield' video game sees big-time sales

'Battlefield' video game sees big-time sales

The latest installment of military video game "Battlefield" hit the market with sales rivaling that of blockbuster rival "Call of Duty," publisher Electronic Arts (EA) announced on Thursday. That is on par with sales reported for the October 2024 debut of the most recent "Call of Duty" game, a new installment of which is set for release next month.