Body Of Kenyan Police Killed In Haiti Accident To Be Flown Home

Body Of Kenyan Police Killed In Haiti Accident To Be Flown Home

The body of a Kenyan police officer who died in a road accident in Haiti will be flown back to Nairobi, officials have confirmed. The officer, who was serving under the Kenya-led Multinational Security Support (MSS) mission, died on Sunday, August 31, 2025, after two armored vehicles were involved in an accident along the Kenscoff–Pétion-Ville [...] The post Body Of Kenyan Police Killed In Haiti Accident To Be Flown Home appeared first on Kahawatungu .

Kindiki ageuza kijiji chake Irunduni kutoka kilichochakaa kuwa kitovu cha mikakati ya ‘Tutam’

Kindiki ageuza kijiji chake Irunduni kutoka kilichochakaa kuwa kitovu cha mikakati ya ‘Tutam’

MIEZI michache iliyopita kijiji cha Irunduni kilikuwa eneo lililochakaa katika kata ya Mukothima Kaunti ya Tharaka Nithi. Lakini tangu kuteuliwa kwa Profesa Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais, kijiji hiki ambacho ni nyumbani kwake, kimebadilika na kuwa kitovu cha shughuli za kisiasa. Hapa, mikakati ya kisiasa inatungwa na kutekelezwa, katika namna inayoshahibiana na Wamunyoro, nyumbani kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika eneo bunge la Mathira Baada ya kutimuliwa afisini Oktoba 18, 2024, Bw Gachagua aligeuza makazi yake kuwa eneo la kuwapokea wanasiasa kutoka maeneo mbalimbali nchini, kujadili na kupanga mikakati. Sasa Profesa Kindiki amegeuza kijiji cha Irunduni kuwa kitovu cha kupanga mikakati yake ya kukomboa eneo la Mlima Kenya kutokana kwa udhibiti wa kisiasa wa Bw Gachagua. Wakati huu wajumbe wanamiminika katika kijiji hiki kujadili siasa za kitaifa. “Tunafurahi kuwa mtoto wetu amekiweka kijiji chetu katika ramani ya kitaifa. Tumeahidiwa kuwa barabara ya lami itajengwa hivi karibuni hadi katika boma la Profesa Kindiki,” akasema Bw Patrick Mugao, mkazi. Ndani ya miezi mitatu iliyopita, Profesa Kindiki amekutana na zaidi ya wakazi 20,00 kutoka maeneo mbalimbali ya Mlima Kenya. Watu hao wanajumuisha vijana, wanawake, wasanii na viongozi wa kisiasa. Mbunge wa Laikipia Mashariki Mwangi Kiunjuri pia anaongoza kundi la wabunge wanaoendesha juhudi za kurejesha imani ya wakazi kwa serikali ya Rais Ruto. Kufikia sasa Profesa Kindiki amekutana na makundi ya wanawake, vijana, wanamichezo, wanafunzi wa vyuo viku na wafanyabiashara kutoka kaunti za Tharaka Nithi, Embu, Meru miongoni mwa zingine. Wanasiasa huwa hawahusishwi katika mikutano ya makundi yasiyoshirikisha wanasiasa, mkakati unaolenga kuongezwa juhudi zinazoendeshwa na viongozi waliochaguliwa. “Nimewahi kuhudhuria mikutano ya viongozi wa mashinani inayolenga kupokea habari kutoka kwa wananchi, malalamishi yao na mapendekezo yao kuhusu namna ya kuendeleza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali wakati huu,” Bw Mugao akasema. Wakati wa vikao kama hivyo, Profesa Kindiki pia hupata nafasi ya kunadi ajenda za serikali ya Rais Ruto na kutoa hakikisho kwa wakazi kuwa ahadi za Rais zitatekelezwa. Ni katika majukwaa kama hayo ambapo Naibu Rais alisema atawatetea wabunge kutoka Mlima Kenya wanaposhambuliwa na wafuasi wa Bw Gachagua. Akiwahutubia zaidi ya wanawake 3,000 nyumbani kwake Irunduni mnamo Agosti 27, 2025, Profesa Kindiki alisema utawala wa Rais Ruto uko tayari kutekeleza ahadi zote za maendeleo kwa manufaa ya raia. Profesa Kindiki alisema atawajibikia miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa na serikali katika kaunti hiyo ya Tharaka Nithi na zingine katika eneo pana la Mlima Kenya. “Kuanzia sasa msiwaulize wabunge wenu kuhusu miradi ya barabara ambayo haijakamilishwa. Nitakuwa nikijibu maswali kuhusu miradi yote inatekelezwa na serikali ya kitaifa hapa katika kaunti ya Tharaka Nithi,” akaeleza.

How To Wear A Bandana

How To Wear A Bandana

A bandana is a simple piece of cloth that can instantly add style, personality, or function to your look. Whether you want to use it as an accessory, for sun protection, or as part of a casual outfit, there are many ways to wear a bandana. With a few folds and ties, you can create [...] The post How To Wear A Bandana appeared first on Kahawatungu .

How To Wash A Down Jacket

How To Wash A Down Jacket

A down jacket is warm, lightweight, and perfect for cold weather. However, washing it the wrong way can damage the delicate feathers inside and reduce its insulating power. To keep your jacket fluffy, clean, and long-lasting, it’s important to follow the right washing and drying methods. Here’s how to wash a down jacket safely at [...] The post How To Wash A Down Jacket appeared first on Kahawatungu .