How To Check RAF Claim Status

How To Check RAF Claim Status

The Road Accident Fund (RAF) in South Africa provides compensation to people injured or to the dependents of those killed in road accidents caused by negligent driving. If you’ve submitted a claim to the RAF, it’s important to track its progress to know whether it’s being processed, approved, or awaiting payment. Fortunately, checking your RAF [...] The post How To Check RAF Claim Status appeared first on Kahawatungu .

Tight security at Mamboleo for Raila’s body viewing

Tight security at Mamboleo for Raila’s body viewing

There was a heavy presence of security officers from different departments ahead of the all-day public viewing of the former prime minister Raila Odinga’s body at the Mamboleo Stadium in Kisumu on Saturday, October 18, 2025. The military jet carrying the late ODM party leader’s remains touched down at the Kisumu International Airport on Saturday […]

How To Check A Private Number

How To Check A Private Number

Getting a call from a private, unknown, or blocked number can be annoying — and sometimes worrying. While carriers and apps can’t magically reveal someone’s identity in every case (privacy laws exist for a reason), there are several legitimate steps you can take to identify or handle a private caller, stop harassment, and protect yourself. [...] The post How To Check A Private Number appeared first on Kahawatungu .

Mwili wa Raila watua uwanja wa Mambo Leo, Kisumu

Mwili wa Raila watua uwanja wa Mambo Leo, Kisumu

Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, umefika katika Uwanja wa Mamboleo, Kisumu, ambako maelfu ya watu wamekusanyika kutoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi huyo mashuhuri. Shughuli hii ilianza asubuhi ya Jumamosi, Oktoba 18, 2025, mara tu baada ya ndege ya kijeshi iliyobeba mwili wake kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kisumu. Kutoka hapo, mwili wake ulisafirishwa kwa helikopta hadi Mamboleo kutazamwa na umma. Maelfu ya waombolezaji kutoka eneo la Nyanza walijitokeza mapema wakiwa wamevalia mavazi ya huzuni, kuonyesha upendo wao kwa Raila Odinga. Uwanja huo umejaa hisia nzito huku watu wakiimba nyimbo za maombolezo na kumbukumbu. Baada ya shughuli ya leo kumalizika, mwili wa Raila utasafirishwa kwa barabara hadi kwao Bondo, Kaunti ya Siaya, kwa mazishi yatakayofanyika Jumapili, Oktoba 19, 2025. Maandalizi ya mapokezi ya mwili huo yalifanywa Ijumaa, kwa ushirikiano kati ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), maafisa wa serikali, viongozi wa eneo hilo na wananchi. Naibu Rais Kithure Kindiki, ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mazishi, aliwahimiza wananchi kuwa wameketi kufikia saa moja asubuhi ili kuhakikisha shughuli zinaendelea kwa heshima na utulivu.

Gachagua asusia ibada ya wafu ya Raila

Gachagua asusia ibada ya wafu ya Raila

KUKOSEKANA kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika ibada ya kitaifa ya wafu ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Amolo Odinga kumeibua maswali miongoni mwa Wakenya, huku wengi wakijiuliza sababu ya kutofika kwake kwenye hafla hiyo muhimu ya kitaifa iliyofanyika Ijumaa, jana katika Uwanja wa Nyayo. Hii ni kwa kuwa viongozi wengine wa upinzani kama vile Kalonzo Musyoka, Fred Matiang’i, Martha Karua, Eugene Wamalwa na Justin Muturi, waliungana na viongozi wa serikali kuonyesha mshikamano wa kitaifa na kumuenzi Raila kama kiongozi aliyegusa maisha ya Wakenya wengi. Wengi walitarajia kwamba Gachagua naye angejitokeza, hasa ikizingatiwa kuwa aliyekuwa mpinzani wake mkubwa kisiasa, Rais William Ruto, alihudhuria na kutoa heshima zake za mwisho. Uhusiano kati ya Raila na Gachagua ulikuwa na changamoto nyingi, hasa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2022. Gachagua, akiwa mgombea mwenza wa Ruto kupitia muungano wa Kenya Kwanza, alimshambulia Raila vikali, akimtaja kama “mradi wa serikali” wa Rais wa wakati huo, Uhuru Kenyatta. Raila pia aliunga kutimuliwa kwa Gachagua kupitia mchakato wa Bunge mwaka jana. Bw Gachagua huwa anaepuka kuketi jukwaa moja na Rais Ruto tangu walipotofautiana kisiasa hadi akatimuliwa serikalini.