Mama Ida: Tumwomboleze Baba kwa amani

Mama Ida: Tumwomboleze Baba kwa amani

MAMA Ida Odinga ametoa wito kwa Wakenya kumwomboleza Raila Odinga kwa amani. Akizungumza Oktoba 17, 2025 Nyayo Stadium, Mama Ida alisema kuwa Bw Odinga alipenda amani kwa hivyo Wakenya wanafaa kumwoboleza kwa amani. “Nawaomba tumwomboleze Baba kwa amani. Najua mna machungu sana ila naomba tuomboleze kwa amani,” akasema Mama Ida. Kando na hayo, aliomba kuwa amani iendelee kudumishwa kote nchini wakati huu ambapo nchi inamwomboleza Bw Odinga. Mama Ida alisema kuwa wamekaa na mumewe kwa zaidi ya miaka 50 na sio rahisi kumuaga. Bw Odinga, mwenye umri wa miaka 80, aliangua dunia Oktoba 15, 2025 wakati wa matembezi ya asubuhi ndani ya uwanja wa kituo cha tiba ya Ayurveda, na alikimbizwa Hospitali ya Macho ya Sreedhareeyam Ayurvedic na Kituo cha Utafiti huko Koothattukulam, ambapo alitangazwa kuwa amefariki dunia, msemaji wa hospitali hiyo alisema.

‘I Am the Luckiest Girl in the World Because You Were My Dad,’ Winnie Odinga Says in Emotional Farewell to Raila

‘I Am the Luckiest Girl in the World Because You Were My Dad,’ Winnie Odinga Says in Emotional Farewell to Raila

Winnie Odinga, the daughter of the late former Prime Minister Raila Amolo Odinga, moved mourners to tears with an emotional tribute to her father, describing him as both her “Dad and superhero.” Speaking during the State Funeral Service at Nyayo National Stadium, Winnie shared heartfelt memories of the man who shaped her life through love, [...] The post ‘I Am the Luckiest Girl in the World Because You Were My Dad,’ Winnie Odinga Says in Emotional Farewell to Raila appeared first on Kahawatungu .