Ruto aongoza Wakenya kuutazama mwili wa Raila

Ruto aongoza Wakenya kuutazama mwili wa Raila

RAIS William Ruto Oktoba 16, 2025 aliongoza Wakenya katika shughuli ya kuutazama mwili wa Waziri wa zamani Raila Odinga na kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi huyo mashuhuri katika uwanja wa Moi Kasarani. Rais alifuatwa na familia ya Bw Odinga ikijumuisha Mama Ida Odinga na wanawe. Aliyekuwa rais wa zamani Uhuru Kenyatta pia alifuata kuutazama mwili wa kiongozi huyo wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM). Wengine waliofuata ni Edwin Sifuna, Milly Odhiambo, gavana wa Nairobi Johnson Sakaja, Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen, Babu Owino pamoja na mawaziri wengine. Sanduku ya marehemu ilikuwa imefunikwa na bendera ya Kenya kuashirika ushujaa wake. Mamia pia walifurika nje wakisubiri kwa hamu kuuona mwili wa Baba huku wakipiga mayowe na kupeperusha bendera na matawi. Shughuli hiyo iliwezekana baada ya maafisa wa usalama kuwaondoa kwa nguvu waombolezaji waliojitokeza kwa wingi katika uwanja huo kumuaga Bw Odinga. Mwili wa Bw Odinga ulisindikizwa na mamia kutoka uwanja wa ndege wa JKIA hadi Kasarani na umati mkubwa. Tangu habari za kifo chake kutangazwa, serikali imempa heshima za kipekee Bw Odinga ikijumuisha benderea zote kupeperushwa nusu mlingoti, ndege iliyoubeba mwili wake kubadilishwa jina na kuitwa RAO001.

Raila Odinga’s Body Viewing Underway at Kasarani Stadium

Raila Odinga’s Body Viewing Underway at Kasarani Stadium

Thousands of mourners thronged the Moi International Sports Centre, Kasarani, in Nairobi on Saturday to view the body of former Prime Minister Raila Amolo Odinga. The solemn ceremony, marked by emotion and chaos, drew a massive crowd from across the country as Kenyans turned up to pay their last respects to the late opposition icon. [...] The post Raila Odinga’s Body Viewing Underway at Kasarani Stadium appeared first on Kahawatungu .

Will Power Siblings: Meet Ken, Damien and Nick Power

Will Power Siblings: Meet Ken, Damien and Nick Power

William Steven Power, born on March 1, 1981, in Toowoomba, Queensland, Australia, stands as one of the most accomplished figures in open-wheel racing. Known simply as Will Power, he is a professional race car driver whose career has been defined by precision, speed, and an unyielding competitive spirit. Named after his great-grandfather, a motorcycle racer, [...] The post Will Power Siblings: Meet Ken, Damien and Nick Power appeared first on Kahawatungu .