How To Check My SASSA Balance

How To Check My SASSA Balance

If you receive a social grant from the South African Social Security Agency (SASSA), keeping track of your balance is important to manage your funds wisely. Whether you get the Child Support Grant, Old Age Pension, Disability Grant, or the R350 SRD Grant, there are several convenient ways to check your SASSA balance. You don’t [...] The post How To Check My SASSA Balance appeared first on Kahawatungu .

From Kibera to Headlines: My First Scoop on Raila Odinga

From Kibera to Headlines: My First Scoop on Raila Odinga

“Raila didn’t just make the news — he was the news.” As a student journalist, I was privileged to cover one of Kenya’s most influential and newsworthy figures — Raila Odinga, the enigmatic doyen of Kenyan politics. That experience not only tested my skills in the field but also deepened my understanding of journalism’s vital [...] The post From Kibera to Headlines: My First Scoop on Raila Odinga appeared first on Kahawatungu .

Uchanganuzi: Gachagua alitarajiwa kufifia, ajabu alivyogeuka mwiba kwa Ruto

Uchanganuzi: Gachagua alitarajiwa kufifia, ajabu alivyogeuka mwiba kwa Ruto

ALIYEKUWA Naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ametimiza mwaka mmoja tangu aondolewe mamlakani mnamo Oktoba 17, 2025. Lakini badala ya kufifia kisiasa kama wengi walivyotarajia, Gachagua ameibuka kuwa mmoja wa wahusika wakuu wa siasa za Kenya kuelekea uchaguzi wa 2027. Picha yake akiondoka Hospitali ya Karen mnamo Oktoba 20, 2024 akiwa amedhoofika, akiandamana na mkewe Dorcas Gachagua aliyekuwa akilia, iliashiria mwanzo wa kile wengi walidhani ni mwisho wake wa kisiasa. Hata hivyo, Gachagua amekataa kufifia, akipambana mahakamani kupinga hatua hiyo na kudai fidia kwa kile anachosema ni kutotendewa haki. Kwa mujibu wa mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse, aliyewasilisha hoja ya kumuondoa ofisini, Gachagua aligeuka kuwa mzigo kwa serikali ya Kenya Kwanza. Mchakato huo uliungwa mkono na wabunge na maseneta kutoka vyama vya ODM, Jubilee na baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza. Ni Wiper pekee ya Kalonzo Musyoka iliyojaribu kumtetea. Gachagua alipatikana na hatia ya makosa matano kati ya 11 aliyoshitakiwa kwayo ambayo ni ukiukaji mkubwa wa Katiba, kudharau uhuru wa Mahakama, kukosa kuzingatia kiapo cha uaminifu, matumizi mabaya ya mamlaka na kujilimbikizia mali isiyoelezeka ya thamani ya Sh5.2 bilioni. Alishtakiwa pia kwa kutumia jamaa zake kupata mali, kueneza chuki za kikabila, kuchochea umma na kuwadhalilisha maafisa wa serikali akiwemo Rais. Aidha, alihusishwa na uhalifu wa kiuchumi kupitia kampuni zinazohusishwa na familia yake na kukiuka Sheria ya Maadili na Uongozi. Mchanganuzi wa siasa Herman Manyora anasema kuwa mchakato huo haukupangwa vyema na umegeuka kuwa mwiba kwa Rais Ruto, haswa katika ngome ya Mlima Kenya. “Kumuondoa Gachagua kuliwasha hasira ya eneo ambalo lilichangia asilimia 47 ya kura za Ruto 2022. Badala ya kulituliza, kuliibuka vuguvugu la ‘Wantam’ linalolenga kulipiza kisasi kisiasa mwaka 2027,” asema Manyora. Mbunge wa Laikipia Mashariki, Mwangi Kiunjuri, alilaumu idara za usalama kwa kutomfungulia Gachagua mashtaka ya uhaini licha ya 'ushahidi' uliowasilishwa bungeni. Aliwalaumu maafisa wa usalama kwa kuruhusu Gachagua kuendelea na 'siasa za uchochezi'. Licha ya Prof Kithure Kindiki kuapishwa kuwa Naibu Rais mpya mnamo Novemba 1, 2025, hali haijakuwa shwari Mlima Kenya. Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga, anakiri kwamba “hofu ilitoweka. Watu walianza kumzomea Rais na Naibu wake mpya hadharani, hata kwenye ibada na mazishi. Miaka 12 ya mapenzi kati ya Mlima Kenya na Ruto iliisha ghafla baada ya Gachagua kutimuliwa serikalini.” Mbunge wa Naivasha, Jane Kihara, asema walimshauri Gachagua kurejea kwa wananchi na kutafuta njia ya kusafisha jina lake na kujipanga kwa 2027 huku mwenzake wa Kipipiri Wanjiku Muhia akikiri kuwa aling’amua kuwa kuunga mkono kuondolewa kwa Gachagua kulikuwa kosa la kisiasa. Gachagua anaona hatua ya kumfurusha kama “baraka iliyojificha ndani ya fedheha”. “Niliwahi kuchukulia kuondolewa kama kama huzuni. Leo, naiona kama chanzo cha umaarufu wangu wa kisiasa,” alisema katika mahojiano na Taifa Leo mnamo Oktoba 12, 2025. Anadai mahasimu wake walimfuata hata baada ya kuondoka serikalini: wakamnyang’anya ulinzi, wakaanza kumfuatilia yeye na familia yake, wakatuma wahuni kumvamia kwenye mikutano ya umma. Lakini kwa kushikamana na wananchi waliovunjwa moyo na serikali ya Ruto, aliibuka tena akiwa na nguvu zaidi. Kwa sasa, kesi yake iko mahakamani ambapo anataka kutimuliwa kwake kubatilishwe na alipwe fidia. Lakini kisiasa, Gachagua amekuwa na mvuto mpya, akiwakilisha sauti ya upinzani kutoka Mlima Kenya dhidi ya Ruto jambo ambalo linaweza kuathiri siasa za 2027 kwa kiasi kikubwa.

Spanish police keep Mango founder death probe open

Spanish police keep Mango founder death probe open

Spanish police confirmed Friday that their probe into the sudden death last year of Mango clothing empire founder Isak Andic remains open following reports his son has become a suspect. Contacted by AFP, Catalan regional police sources confirmed that an investigation is ongoing without giving further details because the case remains under judicial secrecy.

Former President of Tanzania Kikwete, Mpango Arrive in Kenya to Pay Last Respects to Raila

Former President of Tanzania Kikwete, Mpango Arrive in Kenya to Pay Last Respects to Raila

Former President of Tanzania Jakaya Kikwete and Tanzanian Vice President Dr. Philip Mpango have arrived in Kenya to pay their last respects to the late former Prime Minister Raila Amolo Odinga. They were received early Friday morning at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) by former Kenyan Vice President Kalonzo Musyoka. “This morning at JKIA, I [...] The post Former President of Tanzania Kikwete, Mpango Arrive in Kenya to Pay Last Respects to Raila appeared first on Kahawatungu .