Chaos as security is breached at JKIA after Raila’s body arrives

Chaos as security is breached at JKIA after Raila’s body arrives

There were chaos in Nairobi after rowdy mourners breached major security installations after the arrival of former Prime Minister Raila Odinga’s body from India. This forced security agencies to change earlier plans on the burial. For instance, there was a major security breach at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) Thursday after crowds of mourners [...] The post Chaos as security is breached at JKIA after Raila’s body arrives appeared first on Kahawatungu .

Raila Odinga’s Public Viewing Moved from Parliament to Kasarani Stadium

Raila Odinga’s Public Viewing Moved from Parliament to Kasarani Stadium

The public viewing of the late former Prime Minister Raila Odinga has been shifted from Parliament Buildings to Kasarani Stadium following an overwhelming turnout of mourners in Nairobi. The procession to Lee Funeral Home, which was initially planned before the public viewing, has also been cancelled. Officials said the decision was made after large crowds [...] The post Raila Odinga’s Public Viewing Moved from Parliament to Kasarani Stadium appeared first on Kahawatungu .

Raila Odinga’s death: Crowd pushes through razor wires to reach Parliament

Raila Odinga’s death: Crowd pushes through razor wires to reach Parliament

Chaotic scenes unfolded outside Parliament on Thursday, October 16, 2025, as thousands of Kenyans gathered to pay tribute to the late former Prime Minister Raila Odinga, overwhelming security personnel and barricades. Crowds chanted passionately, singing praises of Raila Odinga and repeating the Luo phrase, “Onge ng’at ma baba osenego,” which translates to “there is no […]

Sifuna: Tuwe na umoja chamani ODM tukiomboleza Raila

Sifuna: Tuwe na umoja chamani ODM tukiomboleza Raila

CHAMA cha ODM kimeomba umoja kwa wanachama wake huku taifa likiendelea kumwombeleza kiongozi wao Raila Odinga. Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, kwenye taarifa Jumatano alisema kuwa chama na uongozi wake bado kimeshtushwa na mauti ya Raila na la muhimu kwa sasa ni wao kuungana. “Nawaomba wanachama waungane na waonyeshe umoja wakati huu ambapo tunatafakari kuhusu safari ya maisha na mauti ya kiongozi wetu, ambaye alikuwa mlezi wetu na baba wa wote,” akasema Bw Sifuna. “Mheshimiwa Raila Odinga alikuwa msingi wa siasa zetu na mwingi wa kuwapa sisi matumaini,” akaongeza akimrejelea Bw Odinga kama mwanasiasa mzoefu ambaye alitawala mawanda ya kisiasa kwa zaidi ya miongo mitatu. Alisema marehemu kiongozi huyo wa ODM alikuwa mpiganiaji wa demokrasia na aliwakuza hata viongozi wa sasa, mchango wake ukiacha alama ya kudumu katika siasa za Kenya. “Atasalia nguli imara wa taifa letu na kipenzi cha Wakenya wengi kutokana na jinsi ambavyo alipigania nchi na kusimama imara kuhakikisha uhuru kwa kila mtu,” akasema Bw Sifuna. Kwenye taarifa yake aliwataka wanachama wote waachane na tofauti zao za kisiasa na badala yake wawe na umoja kipindi hiki cha majonzi. Aliongeza kuwa chama kinaendelea kushirikiana na familia na kitatoa mwelekeo kuhusu mipango ya mazishi. “Tumakinikie maisha na mema ambayo kiongozi wetu alifanya wakati wa uhai wake huku tukiendelea kumwomboleza na kuhimili habari ya mauti yake,” akasema. Kifo cha Raila kinatia kikomo taaluma ya kisiasa ambayo ilimshuhudia akidhibiti siasa za nchi huku akiwa kipenzi cha wengu kutokana na sera na msimamo wake wa kupigania mabadiliko ya uongozi wa nchi.