Former Man Utd boss Ten Hag sacked by Leverkusen

Former Man Utd boss Ten Hag sacked by Leverkusen

Former Manchester United boss Erik ten Hag has been sacked by Bayer Leverkusen after just two league matches in charge. Ten Hag, 55, was only appointed by the German club in the summer having been sacked by United in October. “Nobody wanted to take this step,” Leverkusen managing director Simon Rolfes told the club website., external “However, the [...] The post Former Man Utd boss Ten Hag sacked by Leverkusen appeared first on Kahawatungu .

Noma S5 E4

Noma S5 E4

Cecilia fakes a breakdown and manipulates Diana into defending her publicly. Norma uses a fake pregnancy test to regain Liam’s attention. Debby and Jennifer uncover a chilling journal exposing Cecilia’s deepest secrets.

Noma S5 E3

Noma S5 E3

Debby escapes captivity and shocks everyone by arriving just as Liam and Diana’s wedding begins. Chaos erupts as Debby faints at the altar, and Diana starts bleeding. Sanga publicly accuses Cecilia of murder, leaving guests horrified.

Noma S5 E2 –

Noma S5 E2 –

Aiden stumbles upon Debby’s phone with mysterious photos linking Cecilia to a crime. Cecilia convinces Sanga to help erase evidence, revealing her desperation. Norma escalates her plan to sabotage Diana’s pregnancy by hiring an assassin.

Noma S5 E1

Noma S5 E1

Debby regains consciousness to find herself locked in a dungeon, screaming for help. Jennifer begins to suspect Cecilia’s connection to Debby’s disappearance. Liam, unaware of Debby’s fate, clashes with Diana over wedding plans.

Afisa mwingine wa Kenya afa nchini Haiti wengine nane wajeruhiwa

Afisa mwingine wa Kenya afa nchini Haiti wengine nane wajeruhiwa

MMOJA wa maafisa wa polisi wa Kenya walioko Haiti kudumisha amani amekufa katika ajali iliyohusisha magari mawili ya kulinda usalama, karibu na jiji kuu Port-au-Prince. Kwenye taarifa Jumatatu Septemba 1, 2025, msemaji wa Shirika la Kitaifa la Polisi (NPS) Muchiri Nyaga alisema ajali hiyo ilitokea usiku mwendo wa kumi na moja jioni (saa za Haiti) katika barabara ya Kenscoff-Petion-Ville katika eneo la Pelerin 9. “Kisa hicho kilitokea wakati wa kutolewa kwa magari mawili aina ya MaxxPro. Wakati wa kuburutwa kwa magari hayo, tukio hilo la kisikitisha kilitokea. Raia wengine wawili pia walikufa na maafisa wanane wa kikosi cha kulinda amani Haiti (MSS) wakajeruhiwa,” Bw Nyaga akasema. “Watatu kati ya waliojeruhiwa wako katika hali mbaya na wanapokea matibabu katika hospital,” akaongeza. Bw Nyaga alisema kuwa jamaa za polisi wa Kenya aliyekufa wamepashwa habari. Jina lake limebanwa hadi idhini kutoka kwa familia itakapotolewa. Msemaji huyo wa NPS aliongeza kuwa usimamizi wa kikosi cha walinda amani cha MSS kwa ushirikiano na Polisi wa Kitaifa wa Haiti (HNP), unafanya mipango ya kusafirisha maiti ya polisi huyo nyumbani. “MSS pia imejitolea kuhakikisha kuwa maafisa waliojeruhiwa wanapata matibabu bora,” Bw Nyaga akaongeza. Hii sio mara ya kwanza maafa kukumba jumla ya polisi 800 wa Kenya walioko nchini Haiti kwa idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC). Mwezi Juni mwaka huu afisa kwa jina Samuel Tompoi Kaetua aliuawa katika operesheni ya kiusalama katika aneo la Segur-Savien. Mwili wake ulisafirishwa nyumbani kwa mazishi katika kaunti ya Kajiado. Polisi hao wa Kenya ni miongoni mwa walinda usalama kutoka mataifa mbalimbali walioko Haiti kupambana na magenge ya wahalifu ili kurejesha usalama nchini humo. Wakenya hao walipelekwa nchini humo Juni mwaka jana. Nchi zingine zilizochangia walinda usalama katika kikosi cha MSS ni; Jamaica, Bahamas, Guyana, Barbados, Antigua & Barbuda, Bangladesh, Benin na Chad. Jumla ya watu 5,500 wameuawa katika mashambulio yaliyotekelezwa na magenge ya wahalifu nchini Haiti mnamo 2024 huku zaidi ya watu milioni moja walitoroka makwao.