Matiangi asks Ruto to go slow on looting

Matiangi asks Ruto to go slow on looting

2027 Presidential hopeful Fred Matiangi stepped up his criticism of President William Ruto saying his was a government presided over by looters and thieves. He told Kenyans not to expect any further good from an administration already bungling with the health and education sectors. “What more good are we waiting to hear if when principals [...] The post Matiangi asks Ruto to go slow on looting appeared first on Kahawatungu .

Migrant boat kills 69 after capsize off Mauritania

Migrant boat kills 69 after capsize off Mauritania

A boat carrying migrants capsized off the coast of Mauritania earlier this week, killing 69 people, officials told AFP Friday, the latest deadly sea crossing on the frequent migration path. Thousands of would-be migrants have died in recent years seeking to make the sea trip from Africa to Spain and other European countries. The accident [...] The post Migrant boat kills 69 after capsize off Mauritania appeared first on Kahawatungu .

Mipango yaendelea kubadilisha kikosi cha Kenya kilichoko Haiti na kingine

Mipango yaendelea kubadilisha kikosi cha Kenya kilichoko Haiti na kingine

Kuna mipango ya kuondoa kikosi kinachoongoza na Kenya  kurejesha amani nchini Haiti, na kukibadilisha na kikosi kipya kitakachoitwa Gang Suppression Force (GSF), ambacho kitakuwa na jukumu mahsusi la kupambana na magenge ya wahalifu. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa wiki hii, Amerika na Panama zimewasilisha pendekezo kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) na Shirika la Mataifa ya Amerika (OAS) kuunda kikosi hicho kipya kitakachojumuisha maafisa wa usalama kutoka mataifa mbalimbali. Inaripotiwa kuwa muda wa kikosi kinachoongozwa na Kenya unakamilika wiki ya kwanza ya Oktoba, na hivyo kuna nia ya kubadili muundo na mbinu za operesheni hiyo. Hata hivyo, haijabainika wazi tofauti kati ya majukumu ya GSF na yale ya kikosi cha sasa, kwani vyote vinapangiwa kukabiliana na magenge ya uhalifu nchini humo. Amerika na Panama zimetangaza kuwa zinaandaa mpango rasmi utakaofafanua majukumu, muundo na mbinu za GSF. Kwa mujibu wa pendekezo hilo, GSF itakuwa na maafisa zaidi ya 5,500 na italenga kumaliza kabisa magenge yanayohangaisha taifa hilo, hasa kundi la Viv Ansanm linaloongozwa na Jimmy Cherizier maarufu kama Barbecue. Kaimu Balozi wa Amerika katika Umoja wa Mataifa, Bi Dorothy Shea, alisema Kenya imekuwa mshirika muhimu katika operesheni hiyo tangu ilipoanza Juni 2024. “Tunashukuru Kenya kwa kujitokeza wakati muhimu na kuongoza kikosi cha mataifa mbalimbali kwa zaidi ya mwaka mmoja. Bila juhudi hizo, magenge ya wahalifu yangekuwa yameimarika zaidi,” alisema Bi Shea. Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametaka Baraza la Usalama kuidhinisha kikosi cha kimataifa kitakachosaidia kuleta utulivu Haiti chini ya mwavuli wa Umoja wa Mataifa. Baraza la Usalama linajumuisha wanachama watano wa kudumu wenye kura ya turufu—China, Ufaransa, Urusi, Uingereza na Amerika—na wengine kumi wa muda, wakiwemo Algeria, Denmark, Ugiriki, Guyana, Pakistan, Panama, Korea Kusini, Sierra Leone, Slovenia, na Somalia