Mamba wafuata wakazi majumbani baada ya maji kuongezeka Ziwa Turkana

Mamba wafuata wakazi majumbani baada ya maji kuongezeka Ziwa Turkana

WAKAZI wa vijiji vinavyozunguka Ziwa Turkana wanapitia wakati mgumu wakikabiliana ana kwa ana na mamba wanaovamia makazi yao kufuatia kuongezeka kwa maji ya ziwa hilo. Maji ya Ziwa Turkana yameendelea kujaa kwa kasi tangu mwaka wa 2020, hali ambayo imesababisha wakazi wengi kuhama kutoka kwa ardhi yao ya asili hadi maeneo ya juu yasiyo na huduma za msingi kama maji, afya na elimu. Lakini zaidi ya hayo, wanalazimika kuishi kwa hofu ya kushambuliwa na mamba waliohamishwa kutoka maeneo yao ya asili. Katika vijiji vya Apokorit, Namukuse, Lowareng’ak, na maeneo ya Lokirenoko, visa vya mamba kuwashambulia watu vimeongezeka kwa kasi. Taarifa kutoka kwa viongozi wa eneo hilo zinaonyesha kuwa watu zaidi ya kumi wameuawa au kujeruhiwa vibaya na mamba katika kipindi cha miezi michache tu iliyopita. “Watu wanalazimika kwenda karibu na ziwa kutafuta maji au samaki, lakini maeneo haya sasa yamejaa mamba. Wengine wanashambuliwa wakinywesha mifugo,” alisema Bw James Ekutan, mkazi wa kijiji cha Namukuse. Wavuvi wameathirika zaidi. Wengi wanalazimika kuvua katika maeneo hatari zaidi kwani maeneo yao ya awali yamejaa maji au yamevamiwa na mamba. Hali hiyo imewaacha kwenye hatari ya kuuawa au kujeruhiwa, huku wengine wakipoteza nyavu na mitumbwi yao kutokana na mashambulizi ya mamba. “Hakuna msaada kutoka kwa serikali. Tumepoteza ndugu zetu na hatujapata hata pole. Shirika la Wanyamapori halijaonyesha kujali,” aliongeza Bw Ekusi, mkazi wa Apokorit. Idara ya Huduma za Wanyamapori (KWS) imekiri kuwepo kwa changamoto hizo na kusema kuwa maafisa wametumwa eneo hilo na kampeni za uhamasishaji zimeanza. “Ni msimu wa mamba kuzaana, na wanakuwa wakali zaidi. Tunaendelea kufuatilia hali na kuchukua hatua,” alisema afisa wa KWS, Bw Elijah Chege. Hata hivyo, viongozi wa jamii wanatoa wito kwa serikali kuanzisha maeneo salama ya uvuvi, kulipa fidia kwa waathiriwa wa mashambulizi ya wanyamapori, na kuhakikisha huduma muhimu zinawafikia waliohama makazi yao. Pia wanahimiza operesheni ya kitaifa ya kudhibiti idadi ya mamba katika maeneo hatari na kuweka walinzi wa wanyama pori karibu na maeneo ya makazi. Aidha, wakazi wanaomba mashirika ya misaada kusaidia kwa kutoa chakula, vifaa vya afya, na msaada wa kisaikolojia kwa familia zilizoathirika. Huku mamba wakiendelea kutawala maeneo ya ziwa, wakazi wa Turkana wanalazimika kuchagua kati ya hatari ya kushambuliwa au njaa vita vya maisha ambavyo vinaendelea bila suluhisho la kudumu.

How To Use MetaTrader 5

How To Use MetaTrader 5

MetaTrader 5 (MT5) is a powerful trading platform used for forex, stocks, and commodities. It provides advanced tools for market analysis, automated trading, and order management. Whether you are a beginner or an experienced trader, learning how to use MT5 can help you trade more effectively and make informed financial decisions. Download and Install MT5 [...] The post How To Use MetaTrader 5 appeared first on Kahawatungu .

How To Use Meat Tenderiser

How To Use Meat Tenderiser

Meat tenderiser is a powder or liquid made from natural enzymes that helps break down tough fibers in meat, making it softer, juicier, and easier to cook. It is commonly used on beef, pork, or chicken to enhance flavor and texture. Using it correctly ensures your dish turns out delicious and well-prepared. Here is how [...] The post How To Use Meat Tenderiser appeared first on Kahawatungu .

How To Use A Hand Sewing Machine

How To Use A Hand Sewing Machine

A hand sewing machine is a compact and portable tool that makes it easy to mend clothes, stitch fabric, or handle small sewing projects without the need for a large machine. It is simple to operate once you understand the steps. Learning how to use hand sewing machine properly will help you sew neatly and [...] The post How To Use A Hand Sewing Machine appeared first on Kahawatungu .

How To Use Glycerin For Skin Lightening

How To Use Glycerin For Skin Lightening

Glycerin is a natural humectant that draws moisture into the skin, keeping it soft, smooth, and hydrated. When combined with other ingredients, it can also help improve skin tone and reduce the appearance of dark spots. Using glycerin correctly ensures safe and effective results in lightening and brightening the skin. Here is how to use [...] The post How To Use Glycerin For Skin Lightening appeared first on Kahawatungu .

How To Use Gentle Magic Serum

How To Use Gentle Magic Serum

Gentle Magic Serum is a skincare product formulated to help clear blemishes, reduce uneven skin tone, and promote a smoother complexion. It is designed to be used as part of a daily skincare routine and works best when applied correctly. Knowing how to use gentle magic serum ensures you get the best results while protecting [...] The post How To Use Gentle Magic Serum appeared first on Kahawatungu .