Raila Odinga’s Body Arrives at JKIA to a Hero’s Welcome

Raila Odinga’s Body Arrives at JKIA to a Hero’s Welcome

The body of former Prime Minister Raila Amolo Odinga arrived in the country Thursday morning, draped in the Kenyan flag and received with full military honours at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA). President William Ruto and Mama Ida Odinga led the nation in welcoming home the remains of a man celebrated as the father [...] The post Raila Odinga’s Body Arrives at JKIA to a Hero’s Welcome appeared first on Kahawatungu .

Govt Deploys 36 Ambulances for Raila Odinga’s Reception at JKIA

Govt Deploys 36 Ambulances for Raila Odinga’s Reception at JKIA

The Principal Secretary for Medical Services, Dr. Ouma Oluga, has announced the deployment of 36 ambulances to provide emergency medical coverage during the reception of the body of the late former Prime Minister Raila Amolo Odinga at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) on Thursday, October 16, 2025. Dr. Oluga said the ambulances are fully equipped [...] The post Govt Deploys 36 Ambulances for Raila Odinga’s Reception at JKIA appeared first on Kahawatungu .

Senior Counsel Bar Mourn Raila Odinga as a Pillar of Kenya’s Democracy

Senior Counsel Bar Mourn Raila Odinga as a Pillar of Kenya’s Democracy

The Senior Counsel Bar has joined the nation in mourning the death of former Prime Minister Raila Amolo Odinga, describing him as one of the greatest champions of justice, democracy, and constitutional reform in Kenya’s history. In a statement, the Senior Counsel Bar chair Philip Murgor said Odinga’s death is a “great collective loss” to [...] The post Senior Counsel Bar Mourn Raila Odinga as a Pillar of Kenya’s Democracy appeared first on Kahawatungu .

Siku Raila alipojiapisha kuwa ‘Rais wa Wananchi’ baada ya kubwagwa uchaguzini

Siku Raila alipojiapisha kuwa ‘Rais wa Wananchi’ baada ya kubwagwa uchaguzini

MNAMO Januari 30, 2018, Kenya ilishuhudia mojawapo ya matukio ya kishujaa na ya kujitolea zaidi kwenye siasa zake, pale Raila Odinga, akiwa kiongozi wa upinzani aliyegombea urais mara ya nne, alipoamua kujiapisha kuwa “Rais wa Wananchi” katika Uhuru Park, Nairobi. Uamuzi wa kujiapisha mbele ya maelfu ya wafuasi wake, ilikuwa si tu ishara ya mapambano, bali kilio cha haki. Uliakisi hali ya mioyo ya wananchi ambao walihisi kunyang’anywa sauti waliyotoa kupitia uchaguzi. Hatua za kuelekea tukio hilo zilianza miezi kadhaa kabla, kupitia uchaguzi wa urais wa 2017 uliobishaniwa. Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ilitangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa uchaguzi wa Agosti, lakini Muungano wa NASA ulioongozwa na Raila Odinga ulipinga matokeo hayo kwa madai ya kasoro nyingi katika uwasilishaji na ujumlishaji wa matokeo. Katika hatua isiyokuwa ya kawaida, Mahakama ya Juu ilifuta uchaguzi huo ikiwa ni mara ya kwanza barani Afrika mahakama kufuta matokeo ya rais. Katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba, Bw Odinga alikataa kushiriki, akisema IEBC haikuwa imefanya mabadiliko yoyote na hivyo haingeaminika kusimamia uchaguzi huru. Baada ya hayo, nchi iligawanyika kati ya wale waliotaka uchaguzi mpya na wengine waliopendelea hali ya kawaida. Bw Odinga aliamua kutumia ghadhabu hiyo na hali ya wananchi kupoteza imani, kutekeleza tukio la ishara la upinzani la kula kiapo ambacho, kwa maneno yake, “kingerudisha haki ya wananchi.” Serikali ilitoa onyo haraka kwamba hatua hiyo ingechukuliwa kuwa uhaini, kosa lenye adhabu kali kulingana na sheria ya Kenya. Bw Odinga alifika Uhuru Park akiwa amejiandaa kwa tukio hilo. Maelfu ya wafuasi walikuwa tayari wameshika bendera na hakukuwa na polisi wala onyo la serikali kuwapinga. Vyombo vya habari vilizuiwa kupeperusha matangazo ya moja kwa moja kwa amri ya serikali. Saa nane na dakika arobaini na tano alasiri, Bw Odinga alionekana jukwaani akiwa amevaa shati nyeupe na kofia nyeusi, mkono wake wa kulia akiwa ameshika Biblia. Kando yake alikuwa Mbunge wa Ruaraka T.J. Kajwang’, aliyekuwa amevaa joho la mwanasheria kuongoza kiapo, pamoja na wakili Miguna Miguna, ambaye alisaidia kufanikisha hafla hiyo fupi. “Mimi, Raila Amolo Odinga, naapa kwamba nitaipigania taifa hili kama Rais wa Wananchi, na Mungu nisaidie.” Kwa wafuasi wake wengi, halikuwa tukio la kuonyesha tu, lilikuwa tamko la heshima, kuirejesha sauti ya wananchi waliopoteza imani katika uchaguzi uliodaiwa kuibwa.