Raila Odinga Jr: Nitalinda familia Baba

Raila Odinga Jr: Nitalinda familia Baba

Raila Odinga Junior, mwanawe Marehemu Raila Odinga, amemsifu babake na kuwafanya mamilioni ya Wakenya waliojaa Nyayo Stadium kushangilia. Nchi inapoingia katika siku yake ya tatu ya maombolezo ya kitaifa, Raila Junior alisema kuwa atasimama na kuitunza familia yao. “Nakuhakikishia kwamba nitatunza familia yetu ...Asante kwa kunipa jina lako bila kunitwika jukumu la hilo jina,” alisema Raila Junior. Kwa upande wake, Winnie Odinga, bintiye marehemu alisema kuwa babake aliaga dunia kishujaa. “Baba hakufa kama ninavyoona wakisambaza mitandaoni. Alikufa kishujaa. Alikufa mikononi mwangu,’ alisema Winnie. Winnie alieleza kuwa babake aliangua wakati wa matembezi ya asubuhi. Bw Odinga aliaga dunia Oktoba 15, 2025 ndani ya uwanja wa kituo cha tiba ya Ayurveda, na alikimbizwa Hospitali ya Macho ya Sreedhareeyam Ayurvedic na Kituo cha Utafiti huko Koothattukulam, ambapo alitangazwa kuwa amefariki dunia.

‘He Was a Good Cook and Always Number One in Class,’ Senator Oburu Odinga Remembers His Brother Raila Odinga

Siaya Senator Oburu Odinga has paid a moving tribute to his younger brother, the late former Prime Minister Raila Odinga, recalling his brilliance, discipline, and warmth long before he became a political icon. Speaking at Nyayo National Stadium on Friday during the national memorial service, Oburu shared childhood memories that painted a deeply personal picture [...] The post ‘He Was a Good Cook and Always Number One in Class,’ Senator Oburu Odinga Remembers His Brother Raila Odinga appeared first on Kahawatungu .

Bishop Kodia’s Fiery Sermon Electrifies Mourners at Raila Odinga’s State Funeral

Thousands of mourners who gathered at Nyayo Stadium were visibly moved and energized by a powerful sermon delivered by Prof. David Kodia, the Bishop of the Anglican Diocese of Bondo, during the State Funeral Service of former Prime Minister Raila Odinga. In his address, the Bishop strongly criticized leaders who exploit their positions for personal [...] The post Bishop Kodia’s Fiery Sermon Electrifies Mourners at Raila Odinga’s State Funeral appeared first on Kahawatungu .

‘Choose Forgiveness and Peace,’ Ida Odinga Urges Kenyans as She Pays Tribute to Her Late Husband Raila Odinga

A heartbroken Ida Odinga on Friday urged Kenyans to honour the memory of her late husband, former Prime Minister Raila Odinga, by embracing forgiveness, rejecting greed, and upholding peace — values she said defined his life and leadership. Speaking at Nyayo Stadium during the national memorial service, Mama Ida said her husband had always believed [...] The post ‘Choose Forgiveness and Peace,’ Ida Odinga Urges Kenyans as She Pays Tribute to Her Late Husband Raila Odinga appeared first on Kahawatungu .