
Faith Odhiambo Issues Demands to Govt Days After Ruto Appointment
Odhiambo was recently appointed to a 15-member panel to handle compensation for victims of demonstrations.
Odhiambo was recently appointed to a 15-member panel to handle compensation for victims of demonstrations.
Nairobi county Chief Officer of Environment Geoffrey Mosiria shared a meal with several children from vulnerable families in Kibra on Saturday, August 30.
In a major crackdown on drug trafficking, the National Police Service (NPS) has arrested a suspect and confiscated 284 rolls of cannabis sativa in Likoni, Mombasa County. The operation, conducted on August 30, 2025, was spearheaded by officers from the Likoni Sub-County headquarters following a public tip-off about a notorious peddler operating in the Tonge […]
Wondering how to start an internet service provider company in Kenya? Here's a detailed guide for starting your own ISP with or without prior experience.
Sports Cabinet Secretary Salim Mvurya has lauded the hosting of the 2024 African Nations Championship (CHAN), saying it has demonstrated Kenya’s ability to stage international football events on the global stage. In a statement posted on his Facebook account on Saturday, August 30, 2025, Mvurya congratulated Morocco’s Atlas Lions for lifting the CHAN 2024 trophy […]
Zimbabwe's President Emmerson Mnangagwa met Pope Leo XIV on Saturday at the Apostolic Palace in the Vatican.
A 26-year-old Meru University dropout was arrested after allegedly hacking a betting firm and siphoning over KSh 11 million, sparking reactions among Kenyans.
Religious leaders have long been praying for politicians who are seeking elective positions, but some in Nakuru believe they can also make good leaders.
Who is Susan Flannery's partner? If you are a fan of the Bold and Beautiful actress, here are the juicy details about her personal life you should know.
Katika siasa za Kenya, eneo la Mlima Kenya linabaki kuwa miongoni mwa maeneo yenye ushawishi mkubwa wa kisiasa za kitaifa. Hili ni eneo lenye idadi kubwa ya wapiga kura, nguvu ya kiuchumi kupitia sekta kama kilimo na biashara, na historia ndefu ya kutoa viongozi wakuu wa kitaifa. Ndani ya muktadha huu, swali linalozidi kuibuka ni: nani anapaswa kuwa msemaji wa kisiasa wa Mlima Kenya – mtu wa kusema kwa niaba ya watu wa eneo hilo, kuwasilisha maslahi yao, na kuwaunganisha kisiasa kwa wakati huu ambao siasa za uchaguzi wa 2027 zimeanza kuchacha kati ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na mrithi wake Prof Kithure Kindiki. Wachanganuzi wa siasa wanasema Uhuru Kenyatta ni jina lisiloweza kupuuzwa katika siasa za Mlima Kenya. Akiwa mtoto wa rais wa kwanza wa taifa na mwenye uzoefu wa kuongoza nchi kwa miaka kumi (2013–2022), Uhuru anasalia kuwa na heshima miongoni mwa watu wa Mlima. Ana mtandao mkubwa wa kisiasa, wafanyabiashara, viongozi wa kidini, na mashirika ya kijamii.Zaidi ya hayo, ana mifuko mizito na yeye ndiye kinara wa chama cha Jubilee, chama ambacho kilitawala kwa miaka kumi na bado kina wanachama waaminifu, hasa katika kaunti kama Nyeri, Kiambu, Meru na Kirinyaga. Hata hivyo, changamoto kubwa kwa Uhuru ni mabadiliko ya kisiasa tangu aondoke madarakani. Kupinga kwake waziwazi urais wa William Ruto mwaka 2022 kulimgharimu uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa baadhi ya wafuasi wake wa zamani. Licha ya hayo, umaarufu wake bado ni mkubwa miongoni mwa baadhi ya jamii na wafanyabiashara, hasa kwa sababu ya nafasi yake kama “mtu wa familia ya kifalme”. Wazee wa eneo hilo bado wanamtambua kama msemaji wa jamii. Rigathi Gachagua amejiweka mstari wa mbele kujijenga kama msemaji wa sasa wa Mlima Kenya, akijitambulisha kama 'mtoto wa Mau Mau' anayefahamu shida za watu wa mlimani. Akiwa Naibu Rais, alikuwa na jukwaa kubwa la kuwasiliana moja kwa moja na watu wake kupitia miradi ya serikali.Gachagua amekuwa mstari wa mbele katika kushinikiza marekebisho ya sekta ya kahawa, chai, maziwa, na kushughulikia malalamiko ya wakulima kuhusu bei duni na dhuluma kutoka kwa walanguzi. Kutofautiana kwake na Rais William Ruto kulionekana kukuza umaarufu wake katika eneo la Mlima Kenya na kuunda chama cha DCP kulimpatia nguvu zaidi huku akijisawiri kama mtetezi mkuu wa maslahi ya Mlima Kenya. Msemaji Mpya Akiwa naibu rais Profesa Kithure Kindiki anapambana kuwa msemaji mpya wa Mlima Kenya wadhifa ambao wachanganuzi wanasema unamteleza ikilinganishwa na Uhuru na Gachagua. Tofauti na Gachagua na Uhuru, Kindiki hana chama chake binafsi, lakini ana ushawishi mkubwa serikalini kupitia wadhifa wake. Amejitokeza kuendesha hafla mbalimbali za uwezeshaji kijamii, hasa kwa vijana na wanawake, na kutembelea maeneo ya mlimani mara kwa mara katika shughuli zisizo za kisiasa kujipatia umaarufu huku akikosoa Gachagua. Wachanganuzi wa siasa wanasema changamoto ya Kindiki ni ukosefu wa msingi wa chama au wafuasi wa kisiasa kutoka eneo pana la Mlima Kenya huku akijaribu kujivua nembo ya mradi wa Rais Ruto ambaye umaarufu wake eneo hilo ulishuka alipomtema Gachagua na kukumbatia kiongozi wa ODM Raila Odinga. Ili kufikia kiwango cha kuwa msemaji wa Mlima Kenya, atahitaji kujiimarisha zaidi kwenye ngazi za kisiasa, kujinasua kutoka kwa serikali ya sasa au kuwa na chama katika uchaguzi ujao na kujishinda ufuasi wa dhati kutoka Mlima Kenya Magharibi. Wachanganuzi wa siasa Pius Mwaniki na Joseph Kiilu wanasema akiwa naibu rais, hawezi kubanduka chama cha UDA kinachoongozwa na Rais Ruto na anachoweza kufanya kwa sasa ni kutumia wadhifa wake kujenga umaarufu Mlima Kenya. Kindiki anatoka kaunti ya Tharaka Nithi iliyo Mlima Kenya Mashariki huku Uhuru na Gachagua wakitoka Mlima Kenya Magharibi ambako kuna idadi kubwa ya wapiga kura.Kwa sasa, Rigathi Gachagua anaonekana kuwa na nguvu zaidi za kisiasa kufuatia ujasiri wake wa kukosoa serikali. Amekuwa akijitaja kama kiongozi wa kisiasa wa eneo la Mlima Kenya na kumtambua Uhuru kama ‘muthamaki’ wa eneo hilo. “Lakini wawili hao wana vyama vyao vinavyowania umaarufu eneo la Mlima Kenya na kwa hivyo ni washindani hadi pale watakapoketi pamoja na kukubaliana mwelekeo watakaochukua wa kuwa na msemaji mmoja wa eneo,” asema Dkt Isaac Gichuki, mchanganuzi wa siasa.
Kenya now sets its sights on hosting other major tournaments in the coming months.
Tanzanian singer Zuchu faced a tough moment at the CHAN closing ceremony, as she is booed by the crowd and interrupted by fans singing the Kenyan national anthem.
This will affect patients who seek health services in hospitals using private insurance.
President William Ruto has described the 2024 African Nations Championship (CHAN) as a powerful affirmation of Pan-Africanism, saying the tournament showcased the unity and resilience of the continent. In a statement posted on his X account on Saturday, August 30, 2025, Ruto congratulated Morocco for lifting the CHAN 2024 title and commended the organisers, players, […]
Zari Hassan broke down after hubby Shakib was brutally knocked out by Rickman in a celebrity boxing match, sparking emotional reactions and heated debates online.
Nairobi Woman Representative Esther Muthoni Passaris has lauded Kenyan football star Lavin Achola following her stellar performance at the 2025 Homeless World Cup in Oslo, where she was crowned Women’s Player of the Tournament. In a celebratory post on X dated August 31, Passaris described Achola’s achievement as a “powerful symbol of hope and empowerment” […]